• Nairobi
  • Last Updated April 19th, 2024 8:55 PM

KINA CHA FIKIRA: Unominishaji bandia wa neno ‘lalama’ unakirihi

Na KEN WALIBORA KATIKA makala hii tunajadili baadhi ya makosa yaliyoshamiri katika matumizi (zingatia kwamba nimetumia kauli “makala...

KINA CHA FIKIRA: Mafanikio ya Tume ya Kiswahili Afrika Mashariki

Na KEN WALIBORA ABUBAKARI Zein ni mbunge wa Kenya katika Bunge la Afrika Mashariki lenye wabunge kutoka Kenya, Uganda, Tanzania, Burundi...

KAULI YA WALIBORA: Ustaarabu, kwa baadhi ya watu, ni kuisarifu lugha ya mkoloni kama wazawa, kisha kuutweza usuli wao

Na KEN WALIBORA YAMKINI lugha za madola makubwa duniani zitaendelea kushamiri na kunawiri bila kizuizi. Kiingereza chenye wasemaji...

KAULI YA WALIBORA: Wanaoenda kufunza wageni Kiswahili wachujwe kuondoa makapi ya wababaishaji

Na KEN WALIBORA UMEKUWEPO msisimko mkubwa kuhusu ufundishaji wa Kiswahili Afrika Kusini na kuibuka kwa fursa za ajira kwa wajuzi wa...

KAULI YA WALIBORA: Huenda sera duni ya elimu Tanzania inaua watoto kilugha

Na KEN WALIBORA PROF F.E.M.K. Senkoro alinishtua sana alipoandika makala kuhusu mauaji ya halaiki ya watoto wa Tanzania katika makala...

KAULI YA WALIBORA: Kwa Watanzania, Kiswahili ni amana isiyomithilika ila hawana mwao kuhusu hilo

Na KEN WALIBORA KATIKA mitaa na vitongoji vya Dar es Salaam utakutana na mabango yenye maandishi ya Kiswahili kila mahali. “Ujenzi wa...

KAULI YA WALIBORA: Kiswahili kitafana iwapo wanahabari watazidisha utashi

Na KEN WALIBORA WIKI jana katika Taasisi ya Confucius, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kulifanyika kongomana la kihistoria. Ni kongomano la...

KAULI YA WALIBORA: Lugha kwenye vyombo vya usafiri isitumiwe msobemsobe

NA PROF KEN WALIBORA MTU anaweza kufanya utafiti kuhusu maandishi ya kwenye magari na kuibuka na ugunduzi mkubwa wa falsafa ya watu....

KAULI YA WALIBORA: Tulitafune hili fupa ‘etimolojia’

NA PROF KEN WALIBORA MTU mmoja katika jukwaa la mtandaoni ameuliza majuzi neno la Kiswahili 'marehemu' lilitoka wapi? Unaweza kushangaa...

KAULI YA WALIBORA: Kazi za Fasihi husemezana na kuathiriana

Na KEN WALIBORA NI vigumu kusoma tamthilia mpya ya 'Usiniue' ya Eric F. Ndumbaro na Maria N. Isaya bila kusikia mwangwi wa shairi la...

KAULI YA WALIBORA: Heshima ya watoto wa Arusha ni ithibati kuwa dunia hii si tenge tahanani kila mahali

Na KEN WALIBORA NIMEKUWA katika mji wa Arusha kwa zaidi ya wiki nzima. Ni shughuli za Kiswahili ndizo...

KAULI YA WALIBORA: Ajabu ya kuonea fahari Kiswahili kilicholemaa!

Na KEN WALIBORA NI nini kitawafanya Wakenya wazungumze Kiswahili sahihi na sanifu? Hili swali linanitanza wala sijui jibu lake. Kila...