• Nairobi
  • Last Updated April 25th, 2024 1:47 PM

Keter, Munyes wakasirisha maseneta kwa kudinda kufika mbele yao kujibu maswali kuhusu bei ya mafuta

Na CHARLES WASONGA WAZIRI wa Kawi Charles Kater na mwenzake wa Mafuta na Madini John Munyes Jumanne walidinda kufika mbele ya Kamati ya...

WANGARI: Uzalishaji kawi salama utaharakisha ustawi wa nchi

Na MARY WANGARI HUKU muda wa kufanikisha malengo ya Ruwaza 2030 ukizidi kuyoyoma, pana haja ya kutilia maanani suala la kuwezesha kuwepo...

Kawi ya jua inavyoboresha maisha ya wakazi wa mashambani

 NA RICHARD MAOSI Jeniffer Achieng anatumia kiti chake kufikia paneli za kawi ya jua, zilizowekwa kwenye paa la nyumba yake. Akiwa...

Stovu za kawi safi zazinduliwa Nakuru

RICHARD MAOSI na MAGGY MAINA KWA jumla, takriban watu bilioni 1.5 kote ulimwenguni wanaishi bila umeme kutokana na ukosefu wa...

Mfadhili wa nishati ya upepo Lamu atisha kujiondoa

NA KALUME KAZUNGU MFADHILI mkuu wa mradi wa nishati ya upepo, Kaunti ya Lamu ametisha kujiondoa katika kutekeleza mradi huo kutokana na...

Mvutano bungeni Keter akikataa kujibu maswali kuhusu mradi wa Sh74b

Na CHARLES WASONGA KULITOKEA majibizano makali katika kamati moja ya seneti Jumatano adhuhuri pale Waziri wa Kawi Charles Keter...

Wakulima wakerwa na serikali kuwacheleweshea fidia

Na KALUME KAZUNGU WAKULIMA karibu 600 wa eneo ambako mradi wa nishati ya makaa ya mawe unanuiwa kujengwa kijijini Kwasasi, Kaunti ya...

KAWI YA JUA: KenGen yasaka ufadhili wa Sh5.7 bilioni

Na BERNARDINE MUTANU Kampuni ya kuzalisha umeme (KenGen) inatafuta ufadhili wa Sh5.7 bilioni kufadhili ujenzi wa kiwanda cha kuzalisha...

NISHATI YA UPEPO: ERC yakubalia kampuni ya Ubelgiji kuanza kazi Lamu

NA KALUME KAZUNGU TUME ya Kudhibiti Kawi nchini (ERC) hatimaye imepitisha ujenzi wa mradi wa nishati ya upepo katika eneo la Baharini,...

ERC kuwakamata wanaouza mafuta yanayoharibu injini za magari

Na BERNARDINE MUTANU Tume ya Kudhibiti Kawi nchini (ERC) imeanza msako wa kuwakamata madereva wanaosafirisha mafuta chafu. Shirika...