• Nairobi
  • Last Updated March 29th, 2024 6:45 PM

KCPE: Shule za kibinafsi za wasichana zawika

Na WAANDISHI WETU Shule ya kibinafsi ya High Vision iliwacha shule zinazoongoza za kibinafsi vinywa wazi baada ya kutoa mwanafunzi bora...

KCPE: Matokeo ya wanafunzi walemavu yaimarika

NA CECIL ODONGO HUKU sherehe zikiendelea kunoga maeneo mbalimbali ya nchi baada ya Mtihani wa Kitaifa wa Darasa la Nane(KCPE) kutolewa...

KCPE: Wanafunzi kufahamu shule watakazojiunga nazo Desemba 2

NA CECIL ODONGO WANAFUNZI 1,083,456 waliofanya Mtihani wa Kitaifa wa Darasa la Nane (KCPE), ambao matokeo yake yalitolewa Jumatatu,...

Shangwe kijijini mwanafunzi kuongoza #KCPE2019 kwa alama 440

Na REGINA KINOGU VIFIJO na shangwe zimeshuhudiwa Jumatatu katika kijiji cha Maragima, eneobunge la Kieni, Kaunti ya Nyeri baada ya Andie...

Watahiniwa KCPE kujua shule za upili kabla Krismasi

Na FAITH NYAMAI WANAFUNZI waliofanya mtihani wa Darasa la Nane (KCPE) mwaka 2019 watajua shule za sekondari ambazo watateuliwa kujiunga...

Nyuki wasababisha watahiniwa wa kiume kufanyia mtihani katika shule ya wasichana

NA KALUME KAZUNGU WATAHINIWA 50 wa mtihani wa kitaifa wa darasa la nane (KCPE) walijeruhiwa Jumatano bumba la nyuki lilipoanguka ghafla...

Watu wanane wakiwemo maafisa kadha wakamatwa Matungu kwa kukiuka sheria na kanuni za KCPE

Na SHABAN MAKOKHA [email protected] MAAFISA kadha ni miongoni mwa watu wanane katika kaunti ndogo ya Matungu, Kaunti ya...

Wazazi wanunulia shule basi kama zawadi ya matokeo bora

Na DERICK LUVEGA WAZAZI katika Kaunti ya Vihiga wamenunulia shule basi na kujenga madarasa ya mamilioni ya pesa kama zawadi ya matokeo...

VITIMBI: Wavulana waitwa shule za wasichana

Na WAANDISHI WETU Baadhi ya wanafunzi waliofanya mtihani wa Darasa la Nane 2018 hawataweza kujiunga na Kidato cha Kwanza kuanzia...

TAHARIRI: Matokeo mazuri si shule tu bali pia juhudi

NA MHARIRI Juma lililopita zaidi ya wanafunzi milioni moja waliteuliwa shule watakazojiunga nazo kuanzia mwezi ujao. Kati yao, wanafunzi...

WAMALWA: Matokeo ya KCPE yawe msingi wa makuu ya baadaye

NA STEPHEN WAMALWA HONGERA kwa wanafunzi 1,052,364, wavulana 527,294 na wasichana 525,070 waliofanya mtihani wa darasa la nane (KCPE)...

KCPE: Kakamega yatoa mtahiniwa bora mwaka wa nne mfululizo

Na PETER MBURU KAUNTI ya Kakamega, imetoa mtahiniwa bora kote nchini kwa mwaka wa nne mfululizo kulingana na matokeo ya mwaka huu ya...