• Nairobi
  • Last Updated April 24th, 2024 9:50 AM

Wanafunzi wa Kidato cha Nne, Darasa la Nane na Darasa la Nne kurejea shuleni Jumatatu

NA FAUSTINE NGILA WIZARA ya Elimu imewataka wanafunzi wa Kidato cha Nne, Darasa la Nane na Darasa la Nne kurejea shuleni Jumatatu ijayo...

Serikali sasa yaahirisha KCPE na KCSE hadi 2021

CHARLES WASONGA na WANDERI KAMAU MITIHANI ya kitaifa haitaandaliwa mwaka huu baada ya kuahirishwa hadi mwaka ujao kwa sababu ya janga la...

KCSE: Walimu 900 wagomea usahihishaji

Na WAANDISHI WETU ZAIDI ya walimu 900 wanaosahihisha karatasi za somo la Biashara kwenye Mtihani wa Kitaifa wa Kidato cha Nne (KCSE),...

Usahihishaji wa KCSE kufanyika kwa wiki mbili

NA OUMA WANZALA WALIMU zaidi ya elfu 26 wameanza kusahihisha Mtihani wa Kitaifa wa Kidato cha Nne(KCSE) uliokamilika wiki...

Watahiniwa 2 wafariki KCSE, mwalimu afa akisahihisha KCPE

Na WAANDISHI WETU Watahiniwa wawili wamefariki kwenye Mtihani wa Kidato cha Nne (KCSE) unaoendelea huku mwalimu akifariki wakati...

Watahiniwa 34 waandamwa na vituko KCSE ikiendelea

Na WAANDISHI WETU VISA vya kadhaa vimekumba Mtihani wa Kidato cha Nne (KCSE) katika eneo la Nyanza huku watahiniwa 34...

Magoha awaonya vikali wanaojihusisha na udanganyifu KCSE

Na BENSON AYIENDA SERIKALI inaiangazia Kaunti ya Kisii baada ya watu 12 kukamatwa kwa kujifanya watahiniwa katika visa vinavyoorodheshwa...

Mwalimu afa, watahiniwa 3 wajifungua KCSE ikianza

Na WAANDISHI WETU MKASA ulikumba siku ya kwanza ya mtihani wa kitaifa wa shule za sekondari katika kaunti ya Nakuru baada ya mwalimu...

Watahiniwa wa KCSE wakubali kuhamishwa

Na WAANDISHI WETU WATAHINIWA wa Mtihani wa Kitaifa wa Shule za Upili (KCSE) katika Kaunti ya Tana River kutoka Shule ya Upili ya...

Aliyepata ‘A’ katika KCSE afanya kazi gereji kwa kukosa karo

Na FRANCIS MUREITHI KIJANA aliyepata alama ya 'A' yenye pointi 81 katika Mtihani wa Kitaifa wa Shule za Upili (KCSE) mwaka wa 2015,...

Wazazi wawinda mkuu wa shule iliyopata ‘E’ nyingi

Na JADSON GICHANA WAZAZI na wakazi wa eneo la Etago, Kaunti ya Kisii waliandamana jana katika juhudi za kutaka kumng'oa mkuu wa shule ya...

TAHARIRI: Waliomaliza shule washikwe mikono

NA MHARIRI HABARI kuwa watahiniwa zaidi ya 400,000 wa mtihani wa kitaifa wa kidado cha nne (KCSE) mwaka huu walipata alama ya 'D+' hadi...