• Nairobi
  • Last Updated April 20th, 2024 1:51 PM

KICD kuwanoa walimu kidijitali

NA FAUSTINE NGILA TAASISI ya Kitaifa ya Kuandaa Mitaala (KICD) imeanzisha mpango wa kuwanoa walimu kidijitali kama mojawapo ya mbinu za...

KICD na Safaricom kufunzia watoto nyumbani

Na WANDERI KAMAU TAASISI ya Kutengeneza Mitaala Kenya (KICD) inapanga kushirikiana kampuni ya Safaricom na wachapishaji vitabu,...

TAHARIRI: Serikali itimize ahadi ya vitabu kwa shule

NA MHARIRI AHADI ya serikali ya kutoa vitabu teule vya fasihi (set books) bila malipo kwa kila mwanafunzi wa shule za sekondari za umma...

WANDERI: Tuepuke dhana ya kipebari kwenye vitabu vya watoto wetu

Na WANDERI KAMAU MOJAWAPO wa kurasa kwenye kitabu cha shule ya msingi unaonyesha mbunge fulani akiwasili kwa helikopta shuleni huku...

Wallah Bin Wallah aikejeli KICD kuruhusu mategu vitabuni

Na DENNIS LUBANGA MWANDISHI wa vitabu vya Kiswahili Wallah Bin Wallah amewaondolea lawama waandishi na wachapishaji wa vitabu, kutokana...

Mtaala mpya uko sambamba, haujakwama – KICD

 Na BENSON MATHEKA MAGEUZI yanayofanyiwa mtaala mpya wa elimu hayajakwama, mkurugenzi wa taasisi ya kukuza mitaala nchini (KICD) Dkt...

TAHARIRI: Majaribio ya kuiba mitihani yazimwe

Na MHARIRI HABARI za hivi majuzi kwamba mikakati kabambe imewekwa kuiba mtihani wa kitaifa kwa shule za upili(KCSE) zinatamausha mno na...

Walimu sasa waacha kutumia vitabu vipya

Na JOSEPH WANGUI WALIMU wamewacha kutumia vitabu vilivyosambazwa na serikali kwa mtaala mpya wakisema kuwa maelezo yake ni...

Wazazi: Vitabu hivi vinawapotosha wanafunzi, viondolewe

Na VALENTINE OBARA WAZAZI Jumanne waliungana na walimu wa shule za sekondari kushinikiza kuondolewa kwa vitabu vipya vya Kidato cha...

Vitabu vilivyopewa wanafunzi na Serikali vimejaa makosa – Walimu

Na VALENTINE OBARA Kwa ufupi: Walimu wasema walianza kugundua makosa mengi mara walipopewa vitabu hivyo, na sasa wamelazimika...