• Nairobi
  • Last Updated April 19th, 2024 3:03 PM

KINA CHA FIKIRA: Bahati ina sifa ya kuteleza, ikienda hairudi tena!

Na WALLAH BIN WALLAH BAHATI haibagui haichagui! Bahati hutoka kwa Mwenyezi Mungu. Kila mtu ana bahati yake. Lakini hakuna anayejua...

KINA CHA FIKIRA: Kisa cha Mlajasho mfano kwa vijana

Na WALLAH BIN WALLAH DAWA ya umaskini ni kazi. Umaskini utaisha tukifanya kazi kwa bidii. Katika nchi yetu, kazi ziko nyingi. Lakini...

KINA CHA FIKIRA: Heri adui mwerevu kuliko rafiki mwovu

Na WALLAH BIN WALLAH KADANDIE alikuwa rafiki yangu. Nasema alikuwa rafiki yangu kwa sababu hivi sasa siye rafiki yangu tena....

KINA CHA FIKIRA: Usijipalie makaa kwa kuyachezea maisha yako mwenyewe

Na WALLAH BIN WALLAH KITENDO chochote anachokitenda mwanadamu maishani, kikiwa kizuri au kibaya, ni kwa ajili yake yeye...

KINA CHA FIKIRA: Ubora wa mtu daima huwa ni mtu mwenyewe

Na WALLAH BIN WALLAH KATIKA maisha ubora wa mtu umo ndani ya mtu mwenyewe. Mtu akitaka kuwa bora au akitaka kuwa mtaalamu katika kazi...

KINA CHA FIKIRA: Kusomasoma ni hazina kuu ya maarifa maishani

Na WALLAH BIN WALLAH KATIKA maisha ukitaka uwe na maarifa mengi, busara, elimu na ujuzi mpevu kichwani kuhusu mambo mengi, soma sana...

KINA CHA FIKIRA: Kiswahili kitafana iwapo wanahabari watazidisha utashi

Na KABRASHA LA HISTORIA WIKI jana (Juma la kwanza Mei, 2019) katika Taasisi ya Confucius, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kulifanyika...

KAULI YA WALIBORA: Korona ni baniani akuzaye msamiati wa Kiswahili

NA PROF KEN WALIBORA KWEMA msomaji wangu mpendwa? Nashukuru sana kwa shauku yako ya kusoma safu hii kila wiki tangu 2016. Kariha yangu...

KAULI YA WALIBORA: Mbona twaogopa kukiuka haki za wauaji wa lugha?

NA PROF KEN WALIBORA HII ni enzi ya uhuru na haki. Katika enzi hii nimeona watoto wa shule za msingi wakiandamana na mabango yenye...

KINA CHA FIKIRA: Korona ya kuenzi Kiingereza inaua Kiswahili chetu

Na KEN WALIBORA MARADHI ya Korona yalifika Nairobi nikiwa Nairobi. Yamefika Dar es Salaam na Zanzibar nikiwa Pemba. Kwa hakika...

KINA CHA FIKIRA: Malimbukeni wa tafsiri wasioomba kukwamuliwa ni hatari kwa tasnia hiyo

Na KEN WALIBORA SIKU hizi ukiona mtu akiuliza kisawe cha Kiswahili cha neno na usemi wa Kiingereza basi yamkini amepata kazi ya...

KINA CHA FIKIRA: Kwa nini Kiswahili sanifu hakipati mwanya wa matumizi katika nafasi za umma?

Na KEN WALIBORA “USIKAE tu bila job. Tutakusaidia kwenda majuu upate job.” Hivyo ndivyo bango moja linalokingama barabara ya...