• Nairobi
  • Last Updated March 29th, 2024 4:36 PM

Toka ODM tuunde chama chetu, Jumwa amsihi Kingi

CHARLES LWANGA na FARHIYA HUSSEIN MBUNGE wa Malindi, Bi Aisha Jumwa amemtaka Gavana wa Kilifi Amason Kingi aunge wito wa wabunge wa...

ODONGO: Viongozi wa Pwani hawana nia ya kuungana kisiasa

Na CECIL ODONGO WITO wa viongozi wa Pwani wa kuunda chama kimoja kufikia 2022 utakuwa kibarua kigumu kwa kuwa ni jambo ambalo huchipuka...

KURUNZI YA PWANI: Shirika lawataka wanaojiuza kimwili waanze kuuza sabuni

Na MISHI GONGO SHIRIKA la kijamii la Nkoko Iju Africa linapanga kuwafaidi makahaba 4,000 mjini Mombasa kwa kuwapatia ujuzi...

KURUNZI YA PWANI: Wakazi wahimizwa wajiandae hali ya kawaida ikitarajiwa

Na MISHI GONGO ENEO la Pwani limeanza mikakati ya kujitayarisha kurejea kwa hali ya kawaida kama alivyodokeza Rais Uhuru Kenyatta wiki...

Vyoo vijengwe ufuoni msimu huu wa likizo, wakazi Mombasa wasema

Na DIANA MUTHEU WAKAZI wa Mombasa wameomba vyoo vya umma vijengwe na vingine viongezwe katika fuo za bahari hasa msimu huu wa...

KURUNZI YA PWANI: Wabunge 4 wasema 2022 Pwani itatoa mgombea urais

Na CHARLES LWANGA na KALUME KAZUNGU WABUNGE wanne kutoka eneo la Pwani wamesema watahakikisha eneo hilo limesimamisha mgombeaji wa urais...

KURUNZI YA PWANI: Bunge la Kilifi laidhinisha hoja kufuta vibarua 1,000

Na CHARLES LWANGA WAFANYAKAZI takriban 1,000 walioajiriwa kama vibarua huenda wakapoteza ajira baada ya Bunge la Kaunti ya Kilifi...

KURUNZI YA PWANI: Waganga 20 sasa waililia serikali iwatambue

Na CHARLES LWANGA KUNDI la waganga 20 eneo la Magarini, Kaunti ya Kilifi wameitaka serikali itambue kazi yao ya kutibu wagonjwa ili...

KURUNZI YA PWANI: Kampeni kuhusu mimba za mapema yazinduliwa

Na FADHILI FREDRICK NAIBU Gavana wa Kwale Bi Fatuma Achani ameanzisha kampeni itayojumuisha wanawake katika juhudi za kupambana na mimba...

PWANI: Siasa za viuno zilivyotenganisha Jumwa na Mboko

NA MOHAMED AHMED MGAWANYIKO mkubwa umezuka kati ya wanawake wawili maarufu kisiasa katika eneo la Pwani, Aisha Jumwa na Mishi Mboko...

KURUNZI YA PWANI: EACC yachunguza ubaguzi katika ugavi wa basari Kibarani

NA SAMUEL BAYA Tume ya kupambana na ufisadi (EACC) eneo la Pwani imeanzisha uchunguzi kuhusu ugawaji duni wa basari katika kamati ya...

KURUNZI YA PWANI: Huenda wanaovamia ardhi si maskwota

Na SAMUEL BAYA MASWALI yameanza kuibuka kuhusu watu wanaovamia mashamba wakidai kuwa maskwota katika eneo la Pwani. Kuna maskwota...