• Nairobi
  • Last Updated April 19th, 2024 10:55 AM

Yaibuka uwanja wa ndege hutegemea vibuyu kuchota maji

Na KALUME KAZUNGU WAFANYAKAZI katika uwanja wa ndege wa Manda, Kaunti ya Lamu hulazimika kuchota maji kwa vibuyu kutoka visimani kwa...

LAMU: Gavana Twaha ajiteua kuhudumu kama waziri

NA KALUME KAZUNGU GAVANA wa Lamu, Fahim Twaha amefanya mabadiliko makubwa kwenye baraza lake la mawaziri huku akijitengea nafasi...

Wakazi Lamu wapendekeza barabara na vichochoro kupewa majina maalum

Na KALUME KAZUNGU WAKAZI wa mji wa kale wa Lamu wanaishinikiza serikali ya kaunti hiyo kupeana majina kwa barabara na vichochoro vya mji...

Afueni kwa shule 6 kufunguliwa baada ya miaka saba

NA KALUME KAZUNGU AFUENI imepatikana kwa zaidi ya wanafunzi 400 wa shule sita zilizoko msitu wa Boni zilizofungwa kwa miaka saba, Kaunti...

Hofu Lamu kufuatia ongezeko la vijana wanaotumia dawa za kulevya

Na KALUME KAZUNGU VIONGOZI na wazee, Kaunti ya Lamu wameelezea kutamaushwa kwao na ongezeko la vijana wanaotumia dawa za kulevya eneo...

Wachimbaji mawe Lamu wataka serikali ipige jeki shughuli zao

Na KALUME KAZUNGU WACHIMBAJI mawe ya kuchonga na kokoto Kaunti ya Lamu wameilalamikia serikali ya kitaifa na ile ya kaunti kwa...

Ugaidi Lamu ulipungua 2020

Na KALUME KAZUNGU WAKAZI wa kaunti ya Lamu wana matumaini makubwa kwamba vita dhidi ya magaidi wa Al-Shabaab vitamalizwa eneo hilo...

Masharti ya usafiri ?yaimarishwa Lamu

NA KALUME KAZUNGU MADEREVA wa magari ya usafiri wa umma watakaokaidi masharti yaliyowekwa kwenye barabara ya Lamu kuelekea Mombasa ili...

Wahudumu wa afya, wagonjwa wamlilia Uhuru

MARY WANGARI na KALUME KAZUNGU WAHUDUMU wa afya wanaogoma wamemsihi Rais Uhuru Kenyatta kuvunja kimya chake kuhusu malamishi yao,...

Mvua kubwa Lamu yaharibu barabara

NA KALUME KAZUNGU MVUA kubwa ambayo imekuwa ikinyesha katika kipindi cha siku mbili zilizopita, Kaunti ya Lamu imeharibu barabara ya...

Taharuki Lamu baada ya mzee na mwanawe kuuawa kinyama

Na KALUME KAZUNGU TAHARUKI imetanda kijijini Mulei, tarafa ya Mpeketoni, Kaunti ya Lamu baada ya kijana wa  umri wa miaka 22...

Sh50 bilioni zaishia msituni

Na KALUME KAZUNGU SERIKALI imetumia zaidi ya Sh50 bilioni kukabiliana na magaidi wa Al-Shabaab katika Msitu wa Boni, Kaunti ya...