• Nairobi
  • Last Updated April 24th, 2024 5:39 PM

Wafanyakazi 2,000 mradi wa Lapsset watumwa nyumbani, waambiwa wasubiri neno la mwajiri

Na KALUME KAZUNGU WAFANYAKAZI zaidi ya 2,000 wanaoendeleza ujenzi wa mradi wa Bandari Mpya ya Lamu (Lapsset) wametumwa nyumbani ghafla...

Wakazi Lamu sasa watisha kuandamana kuhusu bandari

Na KALUME KAZUNGU WAKAZI wa Lamu na viongozi wao wametoa makataa ya siku saba kwa serikali kutatua mizozo yote kuhusu mradi wa Bandari...

LAPSSET: Serikali yakana madai ya kubagua vijana katika ajira

Na KALUME KAZUNGU SERIKALI ya kitaifa imekanusha madai kwamba vijana wa Lamu wanabaguliwa katika ajira kwenye ujenzi unaoendelea wa...

LAPSSET: Ujenzi wa bandari ya Lamu ulivyoboresha maisha ya polisi

NA KALUME KAZUNGU UJENZI unaoendelea wa Mradi wa Bandari Mpya ya Lamu (LAPSSET) katika eneo la Kililana, Kaunti ya Lamu umesaidia pakubwa...

Mchujo mpya kwa wavuvi 4000 kabla ya kufidiwa na LAPSSET

NA KALUME KAZUNGU WAVUVI zaidi ya 4000 walioathiriwa na ujenzi wa mradi wa bandari mpya ya Lamu (LAPSSET) sasa watalazimika kupitia upya...

Wahudumu wa boti wataka LAPSSET iwafidie

NA KALUME KAZUNGU WAHUDUMU wa boti na mashua kaunti ya Lamu wanaitaka serikali kupitia halmashauri ya bodi ya usimamizi wa ujenzi wa...

Ziara ya ghafla ya Rais Kenyatta kaunti ya Lamu

NA KALUME KAZUNGU RAIS Uhuru Kenyatta Jumatano alifanya ziara ya ghafla kaunti ya Lamu ambapo alikagua miradi mbalimbali inayoendelezwa...