• Nairobi
  • Last Updated April 20th, 2024 7:20 PM

Corona itakavyoitatiza Kenya kulipa madeni

VALENTINE OBARA na BENSON MATHEKA MIKOPO tele iliyochukuliwa na serikali sasa imeitia nchi taabani kwani janga la corona linaendelea...

Wabunge wamtaka Rais afute madeni ya wanaoandamwa na Helb

Na CHARLES WASONGA MUUNGANO wa Wabunge Vijana (KYPA) wamemtaka Rais Uhuru Kenyatta afutilie mbali madeni ambayo baadhi ya wahitimu wa...

Wafadhili wahepa Kenya

Na BENSON MATHEKA WAFADHILI wameanza kukwepa kukopesha Kenya huku serikali ikipuuza ushauri wa mashirika ya kifedha ulimwenguni kwamba...

Madeni sasa yamelemea nchi – Sapit

Na GEORGE ODIWUOR KANISA la Anglikana (ACK) na Kamati ya Bunge kuhusu Uhasibu na Uwekezaji (PAIC) wameelezea hofu yao kuhusu ongezeko la...

Kaunti zinadaiwa Sh100 bilioni na wanakandarasi – KNCCI

GEORGE MUNENE na CAROLINE WAFULA SERIKALI za Kaunti zinadaiwa jumla ya Sh100 bilioni na wanakandarasi, haya ni kwa mujibu wa wa kiongozi...

Zaidi ya nusu ya mapato ya nchi yalitumiwa kulipa madeni – Takwimu

Na BERNARDINE MUTANU SERIKALI ilitumia zaidi ya Sh600 bilioni kulipa madeni katika muda wa miezi 10 kufikia Aprili 2019. Kwa muda...

VIWANDA NAKURU: Kampuni zilivyofungwa kwa kulemewa na madeni

NA RICHARD MAOSI MJI wa Nakuru unapojizatiti kupata hadhi ya kuwa jiji, vijana wengi bado hawana jambo la kujivunia kwa sababu ya...

Serikali yaelekeza macho Amerika kusaka wafadhili

Na VALENTINE OBARA MASUALA kuhusu ustawi wa kiuchumi, uwekezaji na vita dhidi ya ufisadi yanatazamiwa kupewa kipaumbele maafisa wakuu wa...

DENI: Kenya Power, KQ, KPA, KenGen, KBC na KR hatarini kupigwa mnada

Na PETER MBURU HUKU serikali ikiendelea kuomba mikopo zaidi nchini China, mashirika yake manane makuuu yako katika hatari ya kupigwa...

TAMU CHUNGU: Kadhia ya kufanya biashara na serikali

Na SAMMY WAWERU SERIKALI inadaiwa deni la Sh128.88 bilioni na wanakandarasi wa humu nchini, waliopewa tenda ya kuiuzia bidhaa na kusambaza...

Kenya tayari kukopa tena Sh370 bilioni kutoka Uchina

 ANITA CHEPKOECH Na BENSON MATHEKA Serikali inajiandaa kukopa zaidi ya Sh370 bilioni kutoka China za kujenga awamu ya tatu ya reli ya...

Madeni yazidi kuisakama serikali

Na BERNARDINE MUTANU MDHIBITI wa bajeti ameonya kuhusiana na kiwango kikubwa cha deni la serikali kutokana na kuwa zaidi ya nusu ya...