• Nairobi
  • Last Updated April 24th, 2024 10:08 PM

MATUKIO YA 2019: Mafuriko yalivyotatiza wakazi Thika

Na SAMMY WAWERU MWAKA wa 2019 uliofika tamati Jumanne ulikuwa wenye matukio tofauti, kuanzia kamatakamata ya washukiwa wa sakata za...

Matukio 2019: Mafuriko yaligeuka fursa ya kipato kwa baadhi ya vijana Mwiki

Na SAMMY WAWERU NAIROBI ni miongoni mwa kaunti zilizoathirika na mvua iliyopitiliza iliyoshuhudiwa mwishoni mwa mwaka 2019. Ingawa...

Maporomoko ya ardhi na mafuriko yasababisha uharibifu Machakos

Na SAMMY KIMATU WAKAZI katika vijiji vya Mutituni, Sinai na Ngelani katika Kaunti ya Machakos wanakadiria hasara baada ya mafuriko ya...

Wataenda wapi wahasiriwa wa mafuriko Januari?

Na WAANDISHI WETU MAMIA ya Wakenya wangali wamepiga kambi katika shule mbalimbali nchini kufuatia mafuriko, huku shule zikiwa karibu...

Wanakijiji walia mvua kubwa kuharibu mali

NA LAWRENCE ONGARO  WAKAZI wa kijiji cha Kiganjo Thika, wanalalamika hasara baada ya mvua kubwa kuharibu mali yao. Walisema kwa...

Wezi waogelea katika mafuriko kuibia wahamaji

Na WAANDISHI WETU WAKAZI wa Rongai, kaunti ya Nakuru wamelalamikia jinsi wezi wanavyotumia wakati huu wa mafuriko kuvunja nyumba na...

Majonzi tele mvua ikiendelea kuzua vifo na uharibifu

Na WAANDISHI WETU MVUA kubwa inayoendelea kunyesha sehemu mbalimbali nchini imesababisha uharibifu mkubwa wa miundomsingi ya uchukuzi...

Waathiriwa wa mafuriko kupewa makao mapya

Na WAANDISHI WETU SERIKALI kuu na za kaunti ziko mbioni kuwapa makao mapya waathiriwa wa mafuriko katika maeneo yaliyoathirika zaidi na...

Wakazi wa Giciiki Thika Magharibi wahama kufuatia mafuriko

Na LAWRENCE ONGARO WAKAZI wa Giciiki katika eneo la Gatuanyaga, Thika Mashariki, wamelazimika kuhama kutoka makazi yao kufuatia mvua...

Mbunge ashangaza kuwaambia waathiriwa wa mafuriko wasubiri msaada Alhamisi

NA CECIL ODONGO MBUNGE wa Nyando Jared Okello Jumanne aliwataka wakazi wa eneobunge la Nyando ambao wameathirika na mafuriko kuwa...

Mafuriko yazidi kusomba nyumba za wakazi

Na WAANDISHI WETU WATU saba walifariki katika visa vitatu tofauti kutokana na mvua inayoendelea. Wawili walipatikana wamefariki ndani...

Waliokwama mtoni siku tatu wasimulia masaibu

Na PIUS MAUNDU WANAUME watatu waliokuwa wamekwama katika kisiwa kilichoko katikati mwa Mto Athi unaopitia kijijini Yikivuthi, Kaunti ya...