• Nairobi
  • Last Updated March 29th, 2024 11:05 AM

Hakuna nafuu licha ya bei ya mafuta kushuka

Na EDWIN OKOTH HAKUNA matumaini kwa Wakenya kunufaika na bei ya chini ya mafuta iliyotangazwa mwezi huu wa Aprili. Mamlaka ya...

UBUNIFU WA KIUCHUMI: Mjasiriamali anayetengeneza bidhaa kupitia malighafi asilia

Na SAMMY WAWERU UTENGENEZAJI na uimarishaji wa viwanda ni mojawapo ya Ajenda Nne Kuu za Serikali na ambazo Rais Uhuru Kenyatta ameahidi...

ULIMBWENDE: Jinsi ya kuifanya mikono, viganja na vidole kuwa laini

Na MARGARET MAINA [email protected] JAPO hatua ya kunywa maji kwa wingi ili kuwa na ngozi laini ni nzuri, unaweza pia...

Bei ya dizeli na petroli yapanda, nayo ya mafuta taa yarudi chini

Na CAROLYNE AGOSA BEI ya dizeli na petroli imeongezeka kwa Sh2.44 na Sh0.28 katika kila lita mtawalia baada ya kushuka Agosti. Wenye...

Historia Kenya ikianza kuuza mafuta katika nchi za kigeni

PSCU Na ANTHONY KITIMO KENYA Jumatatu iliweka historia ya kuwa taifa la kwanza Afrika Mashariki kujiunga na mataifa yanayouza mafuta...

Maiti za waliokufa Tanzania kufanyiwa uchunguzi wa DNA

NA AFP SERIKALI ya Tanzania Jumatatu ilitangaza kuanzishwa kwa uchunguzi wa DNA kwenye miili iliyoteketea hadi kiwango cha...

Polisi wazima wakazi kuchota mafuta Nakuru

Na PHYLLIS MUSASIA LICHA ya mkasa wa moto kuua watu karibu 70 walioenda kuchota mafuta kwenye lori lililopata ajali Tanzania wikendi,...

Simanzi maziko ya wahanga 68 wa ajali ya mafuta yakianza TZ

NA MASHIRIKA MAJONZI yalitanda nchini Tanzania Jumapili wakati maandalizi ya kuwazika zaidi ya watu 60 waliokufa kwenye moto uliotokea...

Kenya kuuza mafuta ng’ambo chini ya mpango wa majaribio

Na VALENTINE OBARA KENYA sasa iko tayari kusafirisha mafuta nje ya nchi kwa mara ya kwanza na hivyo kuweka historia Afrika...

Mradi wa mafuta ghafi kutoka Lokichar hadi Lamu kuanza 2020

NA KALUME KAZUNGU MRADI wa ujenzi wa bomba la kusambazia mafuta ghafi kutoka Lokichar, Kaunti ya Turkana hadi kwenye eneo la Mradi wa...

Wahatarisha maisha kuuzia bidhaa karibu na mabomba ya mafuta

SAMUEL BAYA na ERICK MATARA WAFANYIBIASHARA wa soko Mjinga linalopatikana katika mtaa wa Kaptembwa, viungani mwa mji wa Nakuru...

Bei ya mafuta taa na dizeli yapungua, ya petroli yapanda

NA CECIL ODONGO BEI ya mafuta taa itashuka kuanzia Jumatatu, kufuatia mwongozo mpya uliotolewa na Mamlaka ya Kudhibiti Kawi na Petroli...