• Nairobi
  • Last Updated April 25th, 2024 5:29 PM

Serikali kuagiza magunia milioni nne ya mahindi kuepusha njaa

Na LEONARD ONYANGO SERIKALI imeidhinisha uagizaji wa magunia milioni nne ya mahindi kutoka nchi za nje ili kuzuia baa la njaa wakati...

Raha tele gharama ya kuandaa ugali ikishuka Magharibi

Na BARNABAS BII WALAJI ugali katika eneo la Magharibi wamepata afueni baada ya bei ya unga wa mahindi kushuka. Bei zilishuka kufuatia...

Wakulima wa mahindi watoa masharti makali kwa serikali

Na BARNABAS BII WAKULIMA wa mahindi katika eneo la Kaskazini mwa Bonde la Ufa wametoa masharti makali kwa serikali kabla ya kuiuzia...

Njaa yanukia akiba ya mahindi nchini ikiisha

Na BARNABAS BII KENYA inakumbwa na hatari ya kuathiriwa na baa la njaa baada ya kiwango cha zao la mahindi kupungua kwa kiwango...

Wakulima wa mahindi sasa wahofia hasara

Na BARNABAS BII WAKULIMA wa mahindi katika eneo la Bonde la Ufa, huenda wakapata hasara kubwa kufuatia mvua kubwa inayoendelea...

Taratibu muhimu za kilimo cha mahindi

Na SAMMY WAWERU MAHINDI pamoja na mchele, ngano, na ndizi ndiyo mazao manne yanayoliwa kwa wingi duniani. Ngano, mahindi na mchele,...

Wakulima pabaya serikali ikiagiza mahindi kutoka nje

NA BARNABAS BII WAKULIMA kutoka Kaskazini mwa Bonde la Ufa sasa wanakodolewa macho na hasara kubwa baada ya mahindi yaliyoagizwa na...

Karlo yazindua mbegu mpya ya mahindi

Na MWANGI MUIRURI WAKULIMA wa mahindi hapa nchini watanufaika na aina mpya ya mbegu ambayo imezinduliwa kwa nia ya kuzidisha mazao...

Huenda serikali iliuzia Wakenya kansa 2008

Na VALENTINE OBARA HOFU imeibuka miongoni mwa Wakenya kwamba mahindi yenye sumu ya aflatoxin, yaliyoingizwa nchini kutoka ng’ambo...

Uhaba wa mahindi magharibi mwa nchi

Na WAANDISHI WETU UHABA mkubwa wa mahindi umeripotiwa katika sehemu kadha za Magharibi mwa Kenya, hali inayoathiri shughuli za kampuni...

AWINO: Wakuzaji miwa waige wenzao wa mahindi

Na GILBERT AWINO Ripoti kutoka Bodi ya Sukari nchini yaonyesha kwamba katika kipindi cha miezi sita iliyopita, serikali iliagiza sukari...

Wakati wa kumtimua Kiunjuri ni sasa, wabunge wamwambia Rais

Na CHARLES WASONGA MAPEMA Jumatano wabunge wa North Rift walimtaka Waziri wa Kilimo Mwangi Kiunjuri kujiuzulu kwa kusimamia wizara hiyo...