• Nairobi
  • Last Updated April 19th, 2024 8:55 PM

Sh20m kutumiwa kukarabati jengo la makavazi

NA KALUME KAZUNGU MAKAVAZI ya Kitaifa nchini (NMK) kwa ushirikiano na Ubalozi wa nchi ya Oman, imeanzisha ukarabati na uboreshaji wa...

WANDERI KAMAU: Tubuni makavazi ya uanahabari kukuza historia, mila zetu

Na WANDERI KAMAU SEKTA ya uanahabari nchini ni miongoni mwa nguzo kuu ambazo zimechangia pakubwa katika uhifadhi wa historia ya...

Balala lawamani kuhusu makavazi

Na WANDERI KAMAU WAZIRI wa Utalii Bw Najib Balala yuko lawamani kwa kuendelea kushinikiza kubuniwa kwa Makavazi ya Jamii ya Waswahili...

RISSEA: Kituo kinachohifadhi utamaduni wa jamii za Pwani

NA RICHARD MAOSI RISSEA (Research Institute of Swahili Studies of East Afrika) ni taasisi ambayo ilibuniwa mnamo 1992 ili kuhifadhi...

HYRAX HILL: Makavazi ya kipekee Nakuru

NA RICHARD MAOSI WAKAZI wa Nakuru Ijumaa waliungana na ulimwengu kusherehekea Siku ya Makavazi Duniani, iliyoratibiwa na Baraza la...

Unyakuzi wa ardhi watishia kuangamiza makavazi na turathi

NA KALUME KAZUNGU   MAKAVAZI na turathi nyingi za kitaifa ambazo ni vivutio vikuu vya watalii kaunti ya Lamu ziko kwenye...

KOIGARO FALLS: Eneo wazee wa Kalenjin walikuwa wanajirusha kwa kuamini ‘kifo kimewasahau’

NA RICHARD MAOSI MLIMA wa Koigaro Falls katika eneo la Biribiriet, Kaunti ya Nandi, unasifika kutokana na historia yake ndefu, ya...