• Nairobi
  • Last Updated April 19th, 2024 7:55 PM

KAMAU: Waraka wa wazi kwa wenyeji wa Kiambaa

Na WANDERI KAMAU HII ni barua ya wazi kwa wenyeji wa eneobunge la Kiambaa. Hamjambo? Leo ni siku muhimu sana kwenu mnapofanya maamuzi...

KINYUA BIN KING’ORI: Wanaopinga Zuma kufungwa wanastahili adhabu kali

Na KINYUA BIN KING'ORI HATUA ya wafuasi wa aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma kuanzisha maandamano yanayolenga kuzua machafuko...

NGILA: Tuwazie upya kuhusu Afrika tunayoitamani kiteknolojia

Na FAUSTINE NGILA JUMATATU wiki hii niliongoza kikao kuhusu jinsi mataifa ya Afrika yanajiandaa kwa Mapinduzi ya Nne ya Viwanda ambapo...

ONYANGO: Vyama vya kikabila si kichocheo cha maendeleo

Na LEONARD ONYANGO WANASIASA wameanza kucheza ngoma ya ukabila huku Uchaguzi Mkuu wa 2022 ukikaribia. Miito ya kuunda vyama vya...

ODONGO: Balaa kwa Jubilee iwapo itapigwa kumbo Kiambaa

Na CECIL ODONGO IWAPO chama cha Jubilee kitalemewa katika uchaguzi mdogo wa Kiambaa, Kaunti ya Kiambu hapo Alhamisi wiki hii, basi hilo...

WANGARI: Ukiritimba ukomeshwe Kenya Power ili kuboresha huduma

Na MARY WANGARI KWA muda sasa, Wakenya wamekuwa wakilalamika dhidi ya ukiritimba wa Kampuni ya Kusambaza Umeme Nchini (Kenya Power)...

WASONGA: Mashirika ambayo ni zigo kwa mlipa kodi yafungwe

Na CHARLES WASONGA TANGAZO la Wizara ya Fedha kwamba, imeanzisha hatua za kupunguza idadi ya mashirika ya serikali ili kudhibiti gharama...

WARUI: Nafasi 10,000 za kazi TSC ilitangaza ni chache mno

Na WANTO WARUI KATIKA jaribio la kuziba pengo la ukosefu wa walimu nchini, Tume ya Kuwaajiri Walimu nchini, TSC imetangaza nafasi za...

MATHEKA: Kuahirisha uchaguzi mkuu wa 2022 ni kukiuka Katiba

Na BENSON MATHEKA KUMEKUWA na mapendekezo kwamba uchaguzi mkuu wa mwaka ujao uahirishwe, ili kutoa nafasi ya kura ya maamuzi kupitia...

WASONGA: Knut, Kuppet zisitishe migomo wakati huu

Na CHARLES WASONGA TISHIO la walimu kwamba watagoma endapo Tume ya Kuajiri Walimu (TSC) haitawaongezea mishahara na marupurupu, halifai...

KINYUA BIN KING’ORI: Wapigakura wa kulaumiwa kuchagua viongozi wafisadi

Na KINYUA BIN KING'ORI KATI ya maswala makuu yanayochangia uchumi wa taifa hili kudidimia, ni ufisadi uliokithiri. Ufisadi umechangia...

KAMAU: Himaya za kifalme hazina nafasi sasa

Na WANDERI KAMAU MFUMO wa utawala wa kifalme ulikuwa njia iliyojenga uthabiti wa kisiasa katika mataifa mengi karne nyingi...