• Nairobi
  • Last Updated April 20th, 2024 7:55 AM

MATUNDURA: Buriani ndugu Hugholin Kimaro, Mola akulaze pema penye wema

NA BITUGI MATUNDURA MNAMO mwezi Novemba 2018, rafiki na mwanahabari Anthony Nyongesa wa Halmashauri ya Uchukuzi na Usalama (NTSA)...

KAULI YA MATUNDURA: Kiswahili kinashuhudia mwamko mpya na wa kipekee kote duniani

NA BITUGI MATUNDURA MWAKA huu unaweza kutajwa kuwa ‘mwaka wa matumaini makuu’ kwa lugha ya Kiswahili si tu Afrika ya Mashariki na...

KAULI YA MATUNDURA: Baraza la Kiswahili Kenya lahitaji kuungwa mkono kikamilifu

NA BITUGI MATUNDURA Mwezi uliopita, Baraza la Mawaziri la Kenya lilitoa idhini ya kubuniwa kwa Baraza la Kiswahili Kenya (BAKIKE). Hatua...

KAULI YA MATUNDURA: Ni pigo kwa ulimwengu wa Kiswahili kumpoteza Prof Mwenda Mukuthuria

Na BITUGI MATUNDURA Mhariri. Naomba unipe idhini niitumie safu hii kumuomboleza mwalimu na rafiki yangu Prof Mwenda Mukuthuria ...

KAULI YA MATUNDURA: Wahakiki wa Fasihi walivyombughudhi Wole Soyinka, kawaita machichidodo

Na BITUGI MATUNDURA WOLE Soyinka, Ali Mazrui , William Robert Ochieng’ na Ngugi wa Thiong’o ni wasomi ambao maoni yao yalivutia sana...

KAULI YA MATUNDURA: Mkangi aliandika Walenisi kwa mafumbo kuepuka rungu la dola?

Na BITUGNI MATUNDURA Riwaya ya Walenisi (Katama Mkangi) ndiyo riwaya ya ‘kwanza changamano’ kuwahi kutahiniwa katika somo la fasihi...

KAULI YA MATUNDURA: Kasumba kuwa Wapwani wanafahamu Kiswa­hili zaidi kuliko wenzao wa bara imepitwa na wakati

Na BITUNGI MATUNDURA MAKALA yangu, ‘Waswahili wa Bara: Je, wasomi wa pwani ‘wamepokonywa’ lugha ya Kiswahili na wenzao kutoka...