• Nairobi
  • Last Updated April 25th, 2024 4:25 PM

MUTANU: Serikali isilegeze kamba katika uhifadhi wa misitu

Na BERNARDINE MUTANU VIWANGO vya joto vimezidi nchini na vitaendelea kushuhudiwa nchini hadi mvua ya masika ianze kunyesha. Lakini...

Ogiek waapa kuunga mkono uhifadhi wa msitu wa Mau

FRANCIS MUREITHI na JOHN NJOROGE WAKAZI zaidi ya 5,000 wa jamii ya Ogiek wanaoishi mashariki mwa msitu wa Mau, wameapa kuunga mkono...

UKATAJI MITI: Bei ghali ya mafuta inavyotishia misitu

Na FAUSTINE NGILA WAKATI serikali ilipopiga marufuku ukataji wa miti nchini, nia yake ilikuwa kulinda misitu, wanyama na vyanzo vya...

Serikali yatakiwa kutaja wanyakuzi wa msitu wa Mau

GEORGE SAYAGIE na PATRICK LANG’AT SERIKALI inaendelea kukabiliwa na shinikizo za kuwafichua na kuwashtaki mabwenyenye walionyakua...

#PandaMitiPendaKenya: Safari ya kupanda miti 1.8 bilioni yang’oa nanga

Na WAANDISHI WETU RAIS Uhuru Kenyatta Jumamosi alizindua kampeni kubwa ya kupanda miti takriban 1.8 bilioni kote nchini katika muda wa...

MAKALA MAALUM: Wageukia magari ya serikali kusafirisha miti ili wasikamatwe

Na BERNADINE MUTANU TANGU kupigwa marufuku kwa ukataji wa miti na uchomaji makaa, wafamyibiashara wa bidhaa hizo wamelazimika kuja na...

Wakazi wa Lamu watakiwa kupanda miti maeneo wanakoishi

NA KALUME KAZUNGU SHIRIKA la Uhifadhi wa Misitu (KFS) katika Kaunti ya Lamu limehimiza wakazi kujihusisha na upanzi wa miti kwenye maeneo...

‘Si lazima ukate miti ndipo uchome makaa’

Na PAULINE ONGAJI KATIKA enzi hizi ambapo kumekuwa na uharibifu wa mazingira kwa sababu ya ukataji miti, anatoa suluhu kwa kuunda makaa...

Biashara haramu ya makaa inayowafaidi Al-Shabaab msituni Boni yazimwa

NA KALUME KAZUNGU MAAFISA wa usalama katika kaunti ya Lamu wamefichua kuwa biashara haramu ya makaa na upasuaji mbao unaoendelezwa kwenye...

Hatari nchi kugeuzwa jangwa kufuatia ukataji wa miti kiholela

Na BENSON MATHEKA KENYA inakabiliwa na hatari ya kugeuka jangwa ikiwa ukataji miti kiholela, uchomaji makaa na uzoaji changarawe mitoni...

Watu kadhaa wanaswa kuhusu ukataji wa miti

Na BARNABAS BII TAASISI ya Huduma za Misitu (KFS) Jumapili ilinasa watu kadhaa waliopatikana wakikata miti kiharamu katika Msitu wa...

Tobiko aunda jopokazi la kulinda misitu

Na BERNARDINE MUTANU WAZIRI wa Mazingira Keriako Tobiko ameunda jopokazi la kusimamia misitu nchini. Miongoni mwa wanakamati wa jopo hilo...