• Nairobi
  • Last Updated March 28th, 2024 11:42 PM

NDIVYO SIVYO: Tofauti ya maneno angalau na aghalabu

NA ENOCK NYARIKI MARA nyingi, watu hujikuta wakilitumia neno ‘angalau’ katika muktadha wa ‘ingawa’ au ‘aghalabu’. Maumbo...

NDIVYO SIVYO: Ulinganifu wa hali hasi katika methali za Kiswahili

NA ENOCK NYARIKI KATIKA msururu wa makala haya, tumekuwa tukiangazia matumizi mabaya ya baadhi ya methali za Kiswahili. Tulieleza...

NDIVYO SIVYO: Neno ‘mgombea-mwenza’ na mitego yake kimatumizi

NA ENOCK NYARIKI MIKTADHA tofauti ya matumizi ya dhana ‘mgombea mwenza’ inadhihirisha kuwepo kwa mgongano wa kimaana baina ya dhana...

NDIVYO SIVYO: Mtu ‘hakubali na jambo’ hulikubali jambo fulani

NA ENOCK NYARIKI KATIKA makala yaliyotangulia, tulieleza kwamba mojawapo ya sababu ambazo yamkini huwafanya watu kutumia kauli ‘kataa...

NDIVYO SIVYO: ‘Nimefika kuchelewa’ ni dhana isiyo na mantiki

Na ENOCK NYARIKI BAADHI ya watu wanapokawia kufika mahali walipotarajiwa, hujiwia radhi kwa usemi, ‘Samahani, nimefika kuchelewa.’...

NDIVYO SIVYO: Sahihi ni ‘Hamjambo’ wala si ‘Hamjamboni’

Na ENOCK NYARIKI DHANA nyingine inayokaribiana na ile ya viwakilishi nafsi tuliyoijadili awali inahusu kiambishi {hu}. Hiki huwa na...

NDIVYO SIVYO: Ukanushi wa kitenzi kishirikishi kipungufu ‘ni’ ni ‘si’ wala si ‘sio’!

Na ENOCK NYARIKI SIO si ukanushi wa kitenzi ‘ni’. Tazama jinsi nilivyolitumia neno “si” baada ya “sio”. Vinginevyo,...

NDIVYO SIVYO: Hakuna kuathiriwa kabla ya tukio

Na ENOCK NYARIKI "HOFU imetanda eneo la Likoni jijini Mombasa kufuatia ripoti kuwa magenge ya majambazi sasa yanawadunga waathiriwa...

NDIVYO SIVYO: Tofauti katika matumizi ya vikanushi ‘hau’ na ‘hu’

Na ENOCK NYARIKI KATIKA makala haya nitapambanua tofauti iliyopo baina ya vikanushi vya hali ‘hau’ na‘hu’. ‘Hau’ hutumiwa...

NDIVYO SIVYO: Upambanuzi wa kina wa kama, kamua na suuza

Na ENOCK NYARIKI SHABAHA yetu katika makala ya awali ilikuwa kutofautisha baina ya maneno kama na kamua ambayo aghalabu hutumiwa...

NDIVYO SIVYO: Bandubandu huisha gogo na chovyachovya humaliza buyu la asali haziwiani kimaana

Na ENOCK NYARIKI MAKALA haya yataziangazia methali mbili ambazo mara nyingi hudhaniwa kuwa na maana sawa. Methali hizo ni: Bandubandu...

NDIVYO SIVYO: ‘Kuwa’ na ‘kua’ yana ukuruba tu wa kimatamshi, maana ni tofauti

Na ENOCK NYARIKI MANENO kuwa na kua yanakaribiana sana kimatamshi. Kutokana na kukaribiana huko,si rahisi kugundua wakati...