• Nairobi
  • Last Updated April 19th, 2024 8:55 PM

Hasara, hofu ndovu wakivivamia vijiji

Na MAUREEN ONGALA WAKAZI wa Ganze na Magarini, Kaunti ya Kilifi wanaendelea kuishi kwa hofu baada ya ndovu kuvamia vijiji katika maeneo...

Mzozo mkubwa baina ya binadamu na ndovu washuhudiwa Subukia

NA PHYLIS MUSASIA WAKAZI wa kijiji cha Kavilila kaunti ndogo ya Subukia katika Kaunti ya Nakuru wameelezea ghadhabu zao wakisema mamia...

Ndovu 396 waliangamia 2018 – KWS

Na PETER MBURU JUMLA ya ndovu 396 waliaga dunia kutokana na sababu tofauti mwaka huu, ikilinganishwa na vifo 727 vya wanyama hao ambavyo...

UTALII: Nani aliwaua ndovu 11 kwa sumu Maasai Mara?

NA GEORGE SAYAGIE HALI ya sintofahamu bado inaendelea kuzingira vifo vya ndovu 26 katika mbuga ya Maasai Mara inayosimamiwa na serikali...

Kenya yaikokosoa Uchina kuondoa marufuku ya biashara ya pembe za ndovu

Na BERNARDINE MUTANU SERIKALI ya Kenya imekosoa uamuzi wa China wa kubatilisha marufuku ya biashara ya pembe za ndovu na mifupa ya simba...

KURUNZI YA PWANI: Nyuki sasa watumiwa kupambana na mavamizi ya ndovu

NA BRIAN OCHARO TATIZO la wanyama kuingia katika mashamba ya watu katika kaunti ya Taita Taveta limekuwa kero kwa wakazi wa eneo hilo...

Waliojaribu kuuzia polisi pembe huru kwa bondi ya Sh1m

Na HILLARY OMITI MAHAKAMA ya Migori Jumatatu iliwaachilia watu wawili kwa dhamana ya Sh1 milioni kila mmoja, baada ya kukanusha...