• Nairobi
  • Last Updated April 19th, 2024 8:55 PM

Watu milioni 4 hawana chakula Kenya, utafiti wafichua

Na PETER MBURU KILA wakati thuluthi moja ya wakazi wa Kaskazini mwa Kenya wanaathiriwa na baa la njaa kiasi cha kuhitaji...

Nzige watasababishia Kenya njaa kuu, UN yaonya

VALENTINE OBARA na GITONGA MARETE JANGA la njaa linalokodolea macho taifa kufuatia uvamizi wa nzige, sasa limevutia hisia kutoka kwa...

Njaa kuu yaja

Na VALENTINE OBARA JANGA la njaa linakodolea Wakenya macho kufuatia uvamizi wa nzige ambao wanaendelea kusababisha uharibifu mkubwa wa...

Simba waliolemewa na njaa wapata ufadhili wa chakula

Na AFP KHARTOUM, Sudan MSAADA wa nyama unazidi kumiminika katika hifadhi ya wanyamapori nchini Sudan inayokabiliwa na uhaba wa hela...

Njaa yanukia akiba ya mahindi nchini ikiisha

Na BARNABAS BII KENYA inakumbwa na hatari ya kuathiriwa na baa la njaa baada ya kiwango cha zao la mahindi kupungua kwa kiwango...

Ni njaa ilipeleka Raila kwa Uhuru, kitabu cha Mudavadi chafichua

JULIUS SIGEI Na BENSON MATHEKA MATATIZO ya kifedha ni moja ya sababu kuu zilizomfanya Kiongozi wa ODM, Raila Odinga kukubali mwafaka wa...

Nusu ya familia nchini ni fukara, hupata chini ya Sh10,000 kwa mwezi – Ipsos

Na BENSON MATHEKA na CHARLES WASONGA KIWANGO cha umaskini kinazidi kuongezeka nchini licha ya madai ya serikali kuwa hali ya maisha...

WAWERU: Aibu mabilioni kuporwa huku kukishuhudiwa uhaba mkubwa wa chakula

Na SAMMY WAWERU KWA muda wa miezi miwili iliyopita baadhi ya maeneo nchini hasa yanayoshuhudia kiangazi mara kwa mara yameripotiwa...

Watu 3 milioni hatarini kufa njaa sababu ya ukame mkuu

 CAROLYNE AGOSA na BENSON MATHEKA WAKENYA milioni mbili unusu wanakabiliwa na baa la njaa kutokana na ukame huku idadi hiyo ikitarajiwa...

MATHEKA: Serikali isipuuze ripoti za njaa kukumba maeneo

Na BENSON MATHEKA Ukame umeanza kubisha hodi katika baadhi ya maeneo nchini. Maelfu ya Wakenya wanakabiliwa na hatari ya kufa njaa huku...

Watu milioni 2 hatarini kufa njaa Zimbabwe

Na MASHIRIKA ZAIDI ya watu milioni mbili nchini Zimbabwe wanakabiliwa na baa la njaa kutokana na kiangazi kilichoathiri mimea ya chakula...

ONYANGO: Chakula cha msaada kisiwe mtego, kitolewe bila masharti

Na LEONARD ONYANGO WITO wa Gavana wa Turkana Josphat Nanok, kutaka serikali ya kitaifa kutumia chakula cha msaada kama chambo cha...