• Nairobi
  • Last Updated April 18th, 2024 9:15 PM

MIGORI: Ayacko kutolewa jasho na limbukeni wa miaka 27 ni ishara kuwa Raila ameisha makali

Na CHARLES WASONGA JAPO ilitarajiwa kuwa mgombeaji wa chama cha ODM Ochilo Ayacko angeibuka mshindi katika uchaguzi mdogo wa useneta wa...

UCHAGUZI MIGORI: Obado ampa Raila wasiwasi

Na WAANDISHI WETU GAVANA Okoth Obado wa Migori amemtia wasiwasi kiongozi wa ODM Raila Odinga licha ya kuwa korokoroni kwa uwezekano wa...