• Nairobi
  • Last Updated April 19th, 2024 8:55 PM

Kenya yazidi kuteleza Olimpiki za Walemavu

Na MASHIRIKA MAKALA ya Olimpiki za Walemavu mwaka huu jijini Tokyo, Japan yatashuhudia Kenya ikisajili matokeo duni zaidi katika...

Ni kisasi, vita vya ubabe kati ya Faith na Hassan fainali 1500m wanawake leo

Na MASHIRIKA FAINALI ya leo ya mbio za 1500m wanawake kwenye Olimpiki za Tokyo nchini Japan, itakuwa jukwaa la vita vya ubabe kati ya...

Msimamo wa medali za Olimpiki 2020

...

Brazil na Ivory Coast nguvu sawa kwenye Olimpiki

Na MASHIRIKA MABINGWA watetezi wa Olimpiki, Brazil, walilazimishiwa sare tasa na Ivory Coast kwenye mchuano wa Kundi D mnamo Jumapili...

Brazil na Ivory Coast kuumiza nyasi leo

YOKOHAMA, Japan BAADA ya kushinda mechi zao za ufunguzi katika Kundi D kwenye Olimpiki zinazoendelea nchini Japan, Brazil na Ivory Coast...

Mwanataekwondo Ogallo ashinda uandishi wa insha ya Olimpiki Kenya

Na GEOFFREY ANENE NYOTA Faith Ogallo si mchache tu katika mchezo wa taekwondo! Ogallo, ambaye atawakilisha Kenya kwenye Olimpiki katika...

NDONDI: Kenya yasubiria nafasi mbili zaidi Olimpiki

NA CHARLES ONGADI LICHA ya kamati ya Kimataifa ya Olimpiki (IOC) kufutilia mbali Mashindano ya Dunia kufuzu kushiriki Michezo ya...

Hit Squad wajiandaa kwa Olimpiki

Na CHRIS ADUNGO TIMU ya taifa ya ndondi almaarufu ‘Hit Squad’ imeimarisha matayarisho yake kwa minajili ya raundi ya mwisho ya...

Olimpiki zaahirishwa kwa muda sababu ya maradhi ya Covid-19

Na MASHIRIKA TOKYO, JAPAN MICHEZO ya Olimpiki iliyofaa kuandaliwa jijini Tokyo, Japan kati ya Julai 24 hadi Agosti 9, 2020...

‘Olimpiki ya mikosi’ Japan ikinusa jinamizi la miaka 40

Na MASHIRIKA TOKYO, Japan NAIBU Waziri Mkuu wa Japan, Taro Aso amesema Olimpiki ya 2020 “imelaaniwa” huku presha ikizidi kwa...

#Olimpiki2020: Wakenya 87 wafuzu

Na GEOFFREY ANENE WAKENYA 87 wamefuzu kushiriki Michezo ya Olimpiki 2020 itakayoandaliwa mjini Tokyo nchini Japan mnamo Julai 24 hadi...

Bingwa Kipchoge kuongoza uwindaji dhahabu Olimpiki

Na GEOFFREY ANENE MSHIKILIZI wa rekodi ya dunia ya mbio za kilomita 42, Eliud Kipchoge anatarajiwa kuongoza orodha ya wakimbiaji...