• Nairobi
  • Last Updated April 19th, 2024 3:03 PM

MARY WANGARI: Tujihadhari hili zimwi la matumizi ya pufya lisitumeze

Na MARY WANGARI KIMEKUWA kipindi kigumu kwa Kenya chenye hisia mseto tangu Michezo ya Olimpiki ilipong’oa nanga jijini Tokyo, Japan,...

Kipa wa Ajax apigwa marufuku ya mwaka mmoja kwa kutumia pufya

Na MASHIRIKA KIPA wa Ajax na timu ya taifa ya Cameroon, Andre Onana amepigwa marufuku ya mwaka mmoja katika masuala ya soka kwa hatia ya...

Kenya yapitisha marekebisho ya Sheria ya Pufya

Na CHARLES WASONGA MASENETA Jumanne walipitisha kwa kauli moja Mswada wa Marekebisho ya Sheria ya Kupambana na Matumizi ya Dawa za...

Maseneta mbioni kupitisha marekebisho ya Sheria ya Pufya

Na CHARLES WASONGA BUNGE la Seneti litafanya kikao maalum Jumanne kujadili Mswada wa marekebisho ya Sheria ya Matumizi ya Dawa za...

Elijah Manangoi naye pia apigwa marufuku kwa kutumia pufya

Na GEOFFREY ANENE ELIJAH Motonei Manangoi ni mwanamichezo wa hivi punde kuingia katika mabuku mabaya ya wakiukaji wa sheria za Shirika...

Aibu duniani wanariadha Wakenya wakizidi kutumia pufya

Na CHRIS ADUNGO BINGWA wa zamani wa dunia katika mbio za mita 1,500 Elijah Manangoi, 27, ni miongoni mwa wanariadha wanne wa Kenya ambao...

Je, Kenya ni taifa la wanariadha wapenda pufya?

Na CHRIS ADUNGO KAMATI ya Maadili ya Shirikisho la Riadha Duniani (IAAF) imempiga marufuku ya miaka minne Mkenya Mikel Kiprotich Mutai kwa...

Kenya yatenga mamilioni kufanikisha vita dhidi ya pufya

GEOFFREY ANENE na MASHIRIKA KENYA imetenga Sh17 milioni kufanikisha vita dhidi ya matumizi ya dawa za kusisimua misuli kwa timu ya taifa...

Wakenya wawili nje miaka minne kwa kutumia pufya

Na CHRIS ADUNGO KITENGO cha Maadili (AIU) katika Shirikisho la Riadha Duniani (IAAF), kimemwondolea marufuku Mkenya John Kibet Kendagor,...

TAHARIRI: Dudu la utumiaji pufya litatuumiza

Na MHARIRI Mashindano ya riadha za dunia yanapoingia siku yake ya pili leo Jumamosi, Kenya yafaa kulimakinikia zaidi tatizo la utumiaji...

Pendekezo watumiaji wa pufya sasa watiwe ndani

Na MWANDISHI WETU SHIRIKISHO la Riadha la Kenya (AK) limeahidi kuwaadhibu vikali na kukabiliana vilivyo na watimkaji wanaojihusisha na...

ADAKA yawarai Wakenya kuzidisha vita dhidi ya pufya

Na GEOFFREY ANENE SHIRIKA la Kukabiliana na matumizi ya dawa za kusisimua misuli michezoni nchini (ADAK) limeomba Wakenya kujitokeza hata...