• Nairobi
  • Last Updated April 24th, 2024 12:32 PM

TAHARIRI: Chuki: Vigogo wawadhibiti wafuasi wao

Na MHARIRI SIKU moja tu baada ya Seneta wa Meru Mithika Linturi kukamatwa na maafisa wa polisi kuhusiana na matamshi yake ya kuchochea...

TAHARIRI: Kuhubiri chuki ya kisiasa tishio kwa taifa kabla ya kura

Na MHARIRI SIKU ya Jumamosi kuliandaliwa mkutano mkubwa sana katika uwanja wa Eldoret Sports Club. Mkutano huu ulikuwa wa chama cha...

TAHARIRI: Ushirikiano unahitajika mno katika elimu 2022

Na MHARIRI KALENDA ya Elimu mwaka huu wa 2022 ina shughuli nyingi ambazo zitahitaji mchango wa pamoja wa wadau wote. Ni mwaka ambao...

TAHARIRI: Macho yetu yako kwa Uhuru, IEBC na Knec 2022

Na MHARIRI MWAKA huu wa 2022 utakuwa wa shughuli tele. Macho ya Wakenya yataelekezwa hasa kwa Rais Uhuru Kenyatta, Tume Huru ya Uchaguzi...

TAHARIRI: Sharti amani idumishwe mikutano ya kisiasa leo

Na MHARIRI JAPO mkutano wa kisiasa ambao unafanyika leo Ijumaa katika uwanja wa Bukhungu, Kakamega unatarajiwa kutumika kupima ubabe wa...

TAHARIRI: Tangazo kuhusu karo kuzifikia shule Jumatatu lisiwe ahadi tupu

Na MHARIRI HUKU shule zikitarajiwa kufunguliwa kwa muhula wa tatu mnamo Januari 3, 2022, Waziri wa Elimu Profesa George Magoha jana...

TAHARIRI: Wakenya hawajaona zawadi ya stima nafuu

Na MHARIRI HUKU Wakenya wakimaliziamalizia sherehe za Krismasi wikendi iliyoisha, wengi wamegutuka kutambua kwamba ahadi ya Rais Uhuru...

TAHARIRI: Suala la watu kupotezwa kiholela linaleta maafa badala ya faraja

Na MHARIRI INAHOFISHA kwamba jumla ya watu 61 walitoweka katika hali kutatanisha nchini mwaka huu 2021. Hatari zaidi ni kwamba wanane...

TAHARIRI: Kongole watimkaji marathon kutuletea sifa tena

Na MHARIRI WIKI iliyopita wakimbiaji Philemon Kiplimo, Collins Koros na Sheila Chepkirui waliwika katika Bahrain Night Half Marathon na...

TAHARIRI: Tutahadhari sana na aina hii mpya ya corona

Na MHARIRI WAZIRI wa Afya Mutahi Kagwe juzi alithibitisha kuwepo kwa aina ya Omicron ya Covid-19 nchini Kenya. Wagonjwa watatu,...

TAHARIRI: Wakenya wawe na mazoea ya kupima maradhi

Na MHARIRI TAKWIMU za Shirika la Afya Duniani (WHO) zilizotolewa wiki hii, zinaonyesha ugonjwa wa saratani bado ni hatari kwa mamilioni...

TAHARIRI: CBC: Serikali ijitahidi kutoa mwelekeo faafu mapema

Na MHARIRI SHULE za msingi za kibinafsi zimeripotiwa kuanza kujenga madarasa zaidi kama sehemu ya matayarisho ya kupatia wanafunzi...