• Nairobi
  • Last Updated April 20th, 2024 1:36 PM

TAHARIRI: Mwelekeo wa soka utolewe kamati shikilizi ikiondoka Mei 11

NA MHARIRI MASWALI chungu nzima yanaendelea kuibuliwa kuhusu hatima ya soka ya Kenya huku Kamati Shikilizi iliyobuniwa na serikali...

TAHARIRI: Serikali sharti itatue hili suala la mafuta kikamilifu

NA MHARIRI KWA mara nyingine, taifa linakodolea macho mgogoro mpya kuhusu uhaba wa mafuta nchini. Wiki mbili baada ya serikali,...

TAHARIRI: Wawaniaji urais watumie vyema fursa hii ambayo IEBC imewapatia

NA MHARIRI HATUA iliyochukuliwa jana na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kuwaongezea muda wawaniaji urais haifai kutumiwa...

TAHARIRI: Wasichana waokolewe dhidi ya mimba za mapema

NA MHARIRI YEYOTE anayewapa watoto dawa za kupanga uzazi anajihatarisha kutumikia kifungo cha miaka 20 jela. Wale wanaojihusisha na...

TAHARIRI: Wadau waungane kumaliza athari za malaria nchini

NA MHARIRI KENYA leo itajiunga na dunia nzima kuadhimisha Siku ya Malaria Duniani. Kaulimbiu ya mwaka huu ni: “Kushinikiza uvumbuzi...

TAHARIRI: Wanasiasa wamwenzi Kibaki kwa kuiga siasa zake safi

NA MHARIRI KIBAKI atakumbukwa kwa mengi, hasa ufufuzi wa uchumi wa nchi, lakini pia alikuwa mwanasiasa aliyestahabu ustaarabu katika...

TAHARIRI: Heko za dhati wanamichezo kwa kuchochea chipukizi nchini

NA MHARIRI TIMU ya taifa ya ndondi ‘Hit Squad' ilivuma katika mashindano ya Afrika Zoni ya tatu nchini DRC kwa kushinda jumla ya...

TAHARIRI: Wasiolipa Helb wafuatiliwe na kuhimizwa kulipa ili wafae wengine

NA MHARIRI BODI ya Mikopo ya Elimu ya Juu (Helb) kwa miaka mingi imewawezesha wanafunzi wengi kulipia masomo yao ya chuo...

TAHARIRI: Tuharakishe mipango ya kuangamiza viwavijeshi

NA MHARIRI MWEZI huu wa Aprili kawaida huwa wakati ambapo mvua huanza kunyesha nchini. Katika maeneo ya Pwani na Kati mwa nchi, mvua...

TAHARIRI: Wasichana walindwe dhidi ya ukeketaji

NA MHARIRI LIPO kundi la siri eneo la Kati mwa Kenya ambalo ni tishio kuu kwa wanawake, hasa wasichana wadogo. Hili ni dhehebu ambalo...

TAHARIRI: Maonevu dhidi ya timu za Kenya zikicheza ugenini yakomeshwe

NA MHARIRI KATIKA mashindano ya Africa Zone 3 yaliyoandaliwa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) mwaka jana 2021, timu ya...

TAHARIRI: Tunateseka kwa kukosa mipangilio

NA MHARIRI HAKIKA taifa la Kenya tunapitia kipindi kigumu, na hii ni dhahiri kwa yeyote aliye mkazi wa nchi hii. Ni kweli kuna...