• Nairobi
  • Last Updated April 19th, 2024 9:55 AM

NGILA: Mawimbi ya 4G yatasaidia kupunguza bei ya simu

NA FAUSTINE NGILA Mwezi uliopita, nilihudhuria uzinduzi wa intaneti ya kasi ya kisasa inayotumia mawimbi ya 4G katika eneo la Mogotio,...

Uvumbuzi wake unavyochangia kuimarisha taifa kiteknolojia

Na SAMMY WAWERU Ikiwa ndoto ya James Nyakera ya kuwekeza na kufaulu katika sekta ya ufumbuzi wa teknolojia ya kimawasiliano (ICT)...

Teknolojia inavyowasaidia chipukizi kufanya mazoezi

NA RICHARD MAOSI Licha ya maambukizi ya Covid-19 kulemaza jumuiya ya wapenzi wa soka, ni wakati ambapo huenda teknolojia ikaawafaa...

ONGAJI: Wakenya wajihadhari na wageni wanaoiba ubunifu wao

Na PAULINE ONGAJI Kenya imetambulika kote duniani kama mojawapo ya mataifa yaliyo mstari wa mbele katika uvumbuzi hasa Afrika. Ni...

Makanisa yatumia teknolojia kusajili waumini kwa ibada

Na BENSON MATHEKA MAKANISA yamelazimika kutumia teknolojia kusajili waumini kuhudhuria ibada kufuatia kanuni mpya za kuzuia maambukizi...

WANGARI: Kenya isitoze kodi tasnia za kidijitali ili kuinua biashara

Na MARY WANGARI HUKU biashara na mashirika mbalimbali yakikumbatia mifumo ya kidijitali katika utekelezaji wa shughuli zao kutokana na...

WANGARI: Corona imechangia katika ukuaji wa biashara kidijitali

Na MARY WANGARI IKIWA kuna jambo ambalo limejitokeza kutokana na janga la virusi vya corona ni mabadiliko katika namna ya utendakazi...

NGILA: Blockchain itasadia pakubwa kuzima corona

Na FAUSTINE NGILA NILIPOSOMA mitandaoni kuwa China ilikuwa imeuza vifaa bandia vya kupimia virusi vya corona vipatao 640,000 kwa taifa...

NGILA: Virusi vimetoa fursa ya kutatua matatizo yetu

NA FAUSTINE NGILA HUKU vifo kutokana na virusi vya corona vikiongezeka kila siku, hofu ya maambukizi imetanda kote nchini, licha ya...

NGILA: Tahadhari kuna utapeli wa corona mitandaoni

Na FAUSTINE NGILA Tangu virusi vya corona vianze kusambaa kote duniani, usalama mitandaoni umedorora mno. Wadukuzi wanatumia ujanja...

NGILA: Tutumie data ipasavyo kuimarisha ukuzaji wa chakula

NA FAUSTINE NGILA CHANGAMOTO ya uharibifu wa nzige sasa ni tisho kuu kwa utoshelevu cha chakula nchini. Nzige hawa tayari wameharibu...

NGILA: Tutumie teknolojia kuzuia maambukizi ya corona

Na FAUSTINE NGILA KWA miezi miwili sasa, nimekuwa nikifuatilia kwa karibu jinsi ambavyo mataifa mbalimbali duniani yamekuwa...