• Nairobi
  • Last Updated March 29th, 2024 6:25 PM

Wanawake Kiambu wahimizwa kuzingatia teknolojia mpya

Na LAWRENCE ONGARO KIKUNDI kimoja cha wanawake Kaunti ya Kiambu kimejitolea kubuni njia rahisi ya kupata umeme kwa kutumia teknolojia...

NGILA: Vizingiti vya ustawi wa teknolojia ya dijitali viondolewe

Na FAUSTINE NGILA KULINGANA na ripoti ya Benki ya Dunia ya mwaka 2019 kuhusu hali halisi ya uchumi wa kidijitali, Kenya ina mengi ya...

Wito vituo vya intaneti vianzishwe mashinani

Na PHYLLIS MUSASIA WIZARA ya elimu Nakuru, imeomba serikali ya kaunti ianzishe miradi spesheli ya mitandao mashinani, ili kusaidia...

TEKNOLOJIA: Wanafunzi wako tayari, nani atawafundisha usimbaji wa programu?

NA FAUSTINE NGILA NI Jumatano mchana katika mji wa Meru, ambapo Taifa Leo Dijitali imetembelea Shule ya Msingi ya St Paul iliyoko mita...

NGILA: Dunia isipodhibiti teknolojia za #Deepfake, itaangamia

Na FAUSTINE NGILA Wakati afisa mkuu mtendaji wa kampuni za Amerika, Tesla na Space X, Bw Elon Musk (pichani) alipotoa hotuba kuhusu haja...

NGILA: Bila ushirikiano kiteknolojia #AfricaRising itasalia ndoto tu

Na FAUSTINE NGILA RIPOTI ya hivi majuzi kuhusu uchumi wa dijitali iliyochapishwa na Umoja wa Mataifa (UN) imetoa takwimu za kushtua....

Teknolojia kutumika pakubwa Mlima Kenya kukabiliana na pombe haramu

Na LAWRENCE ONGARO SERIKALI imezindua mbinu mpya ya kutambua ilipo pombe haramu kwa kutumia vifaa vya kiteknolojia ambavyo ni ndege...

WANGARI: Mahakama zitumie teknolojia kuimarisha huduma zao

NA MARY WANGARI Hivi majuzi, Jaji Mkuu David Maraga alifichua kwamba mahakama zimefanikiwa kupunguza mrundiko wa kesi zilizodumu kwa...

NGILA: KRA isikubali biashara za mitandaoni zikwepe ushuru

NA FAUSTINE NGILA HUKU mizizi ya teknolojia ikizidi kupenyeza katika uchumi wa Kenya, biashara za mitandaoni zimeongezeka kwa kasi mno...

NGILA: Tuwape watoto fikra za kutatua changamoto maishani

NA FAUSTINE NGILA WIKI iliyopita wanafunzi wa elimu ya msingi na sekondari wenye umri wa kati ya miaka minane na 17 katika Kaunti ya...

NGILA: Usimkejeli mwenzio anayetumia simu kusoma Biblia kanisani

NA FAUSTINE NGILA KWA muda mrefu sasa, athari za teknolojia kwa dini zimekuwa zikioneknana kuwa mbaya kwa waumini. Lakini imani hii...

NGILA: Ukoloni wa data waja Afrika tusipochukua hatua

Na FAUSTINE NGILA KATIKA Biblia Takatifu, (Mathayo 2:1-12) , Yesu alipozaliwa katika Bethlehemu ya Uyahudi zamani za Mfalme Herode,...