• Nairobi
  • Last Updated April 19th, 2024 3:03 PM

Safari za treni kwa Nyanza, Magharibi sasa zanukia

Na BONFACE OTIENO ABIRIA wanaosafiri kutoka Mombasa hadi Kisumu, wataanza kutumia gari moshi usiku na mchana mwezi ujao, baada ya reli...

Safari za Madaraka Express zaleta matumaini Pwani baada ya kiwingu cheusi cha Covid-19

Na CHARLES WASONGA ILIKUWA ni furaha ya aina yake kwa abiria Jumatatu alasiri baada ya kuwasili katika kituo cha garimoshi cha Miritini,...

Treni kufufua uchumi Mlima Kenya

JAMES MURIMI na NICHOLAS KOMU SEKTA ya utalii na uchumi wa mji wa Nanyuki unatarajiwa kustawi baada ya kuanza tena kwa safari za reli...

Abiria wataka huduma za treni Nairobi ziendelee kama kawaida

NA GEOFFREY ANENE ABIRIA wa magarimoshi yanayohudumu maeneo ya Ruiru, Syokimau, Embakasi na Kikuyu hadi jijini Nairobi wametaka Shirika...

Yaibuka serikali inapanga kutumia Sh10b kununua treni zilizotumika

Na Edwin Okoth KENYA inapanga kutumia Sh10 bilioni kununua magari moshi 11 kuukuu, yaliyotumika hadi kwa miaka 25 kutoka Uhispania...

Hitilafu ya treni yawaharibia maelfu mipango ya Valentino

Na GEOFFREY ANENE ILIKUWA Valentino ya taabu baada ya abiria wanaotumia treni linalohudumu katika barabara ya Ruiru hadi jijini Nairobi...

Abiria walia nauli ya Sh40 ya treni jijini Nairobi inawaumiza

Na GEOFFREY ANENE WATUMIAJI wa treni inayohudumu kutoka jijini Nairobi hadi mjini Ruiru katika kaunti ya Kiambu wamelalamikia hatua ya...

Serikali kurejesha treni jijini kupunguza msongamano

Na BERNARDINE MUTANU SERIKALI imetangaza kuanzisha mpango wa kuanzisha tena uchukuzi kwa njia ya treni Jijini Nairobi. Waziri wa Uchukuzi...

Sungura 27 wahangaisha maafisa katika kituo cha treni

MASHIRIKA na VALENTINE OBARA NEW YORK, AMERIKA MAAFISA wa kutunza wanyama walikabiliwa na wakati mgumu kukamata sungura 27 waliotupwa...

Ajali ya treni yasababisha msongamano Mombasa

Na WINNIE ATIENO SERIKALI Jumapili iliwatuma wanajeshi katika eneo la mkasa wa garimoshi la kubeba mafuta ya petroli mjini Mombasa, huku...

Serikali kununua treni 18 za abiria kufikia 2019

Na BERNARDINE MUTANU Serikali inalenga kununua magari ya moshi 18 ya uchukuzi wa abiria na bidhaa kabla ya mwisho wa 2019. Ripoti hii ni...