• Nairobi
  • Last Updated April 23rd, 2024 10:10 AM

Maswali anayopaswa kujiuliza mwandishi yeyote wa kubuni kabla ya kuanza kutunga

JUMA lililopita, nilionesha na kujadili jinsi mwandishi wa kubuni anaweza kupata visa vya kutungia hadithi. Baadhi ya chemchemi za visa...

Kazi ya uandishi mitandaoni inalipa

Kevin Rotich [email protected] Teknolojia ya kisasa imeipa nyanja ya uandishi umaarufu mwingi kutoka kwa vijana ambao...

UANDISHI: Mathias Momanyi ni mwandishi mahiri wa vitabu vya Kiswahili

Na PETER CHANGTOEK KWA wale waliokuwa wakiyapenda makala yake ya ‘Shule ya Shangaa’ yaliyokuwa yakichapishwa katika gazeti la Taifa...

KAULI YA MATUNDURA: Ni muhimu kuitafitia kazi yoyote ya kiubunifu kabla ya kuiandika

Na BITUGI MATUNDURA Katika makala yangu ‘Uandishi wa kubuni hauhitaji nguvu za uchawi’ (Taifa Leo Juni 23, 2016) niliangazia jinsi...

Matokeo ya shindano la Insha Machi – Shule za Msingi

Eneo la Nyanza 1.Mwanafunzi: Ochieng’ Lalenda Otieno Shule: Pandpieri Mwalimu: Stephen Amon 2. Mwanafunzi:Befonce...

KAULI YA WALIBORA: Kiswahili kitakwezwa tu kupitia ari na juhudi za wasemaji wake

Na PROF KEN WALIBORA Mhakiki wa Kinaijeria Obi Wali aliwahi kuuliza: “Kiingereza kingekuwa wapi kama waandishi wa Kiingereza wangeamua...

GWIJI WA WIKI: Timothy Kinoti M’Ngaruthi

BIDII na maombi huandamana kwani imani bila matendo imekufa! Huu ndio ushauri wa Dkt Timothy Kinoti M’Ngaruthi - mwandishi, mtafiti,...

KAULI YA WALIBORA: Tasnia ya uandishi itazidi kupiga hatua tu iwapo waandishi chipukizi na wale wabobezi wataandika sambamba, kwa sawia

Na PROF KEN WALIBORA Mwanafunzi aitwaye Boniface wa Shule ya Upili ya St Peter’s Mumias alinidokezea hivi karibuni kuhusu mawanio yake...