• Nairobi
  • Last Updated April 19th, 2024 7:55 PM

UFISADI: Wasilisheni ushahidi, Raila aambia wanasiasa wanaolia

NA CECIL ODONGO KINARA wa upinzani nchini Raila Odinga Jumatatu aliwataka wanaodai kwamba vita dhidi ya ufisadi vinalenga jamii zao...

Maafisa wakuu Samburu wakana dai la ulaghai wa Sh84 milioni

Na RICHARD MUNGUTI KARANI wa Kaunti ya Samburu, Bw Stephen Siringa na washukiwa wengine tisa walishtakiwa Ijumaa kwa kuidhinisha malipo ya...

UFISADI: Uhuru na Raila wasema sheria ifuatwe

Na CHARLES WASONGA KIONGOZI wa upinzani Raila Odinga ameunga mkono kauli ya Rais Uhuru Kenyatta kwamba sheria inapasa kuzingatiwa katika...

HALI YA TAIFA: Uhuru asitasita kuhusu ufisadi

BENSON MATHEKA na PETER MBURU RAIS Uhuru Kenyatta Alhamisi alisita kuchukua hatua madhubuti dhidi ya mawaziri wanaochunguzwa kwa...

Wafisadi wajiuzulu, wasisubiri kutiwa adabu – Mudavadi

Na CHARLES WASONGA KIONGOZI wa chama Amani National Congress (ANC) Musalia Mudavadi amewataka maafisa wakuu wa serikali, wakiwemo...

TAHARIRI: Maamuzi magumu yahitajika kuzima ufisadi

NA MHARIRI Hatimaye Hotuba ya Rais kwa Taifa iliyosubiriwa na wengi ilifanyika Alhamisi na maoni mbalimbali yamemiminika kutoka pande...

Upinzani waunga Rais mkono katika vita dhidi ya ufisadi

Na PETER MBURU VIONGOZI mbalimbali Alhamisi waliunga mkono Rais Uhuru Kenyatta kwa kujitolea kwa serikali yake katika kupigana na...

ODM yasukuma Uhuru awapige kalamu mawaziri ‘fisadi’

Na VALENTINE OBARA CHAMA cha ODM kimemtaka Rais Uhuru Kenyatta kuwafuta kazi mawaziri wanaochunguzwa kwa madai ya ufisadi atakapohutubia...

UFISADI: Gavana Kasaine apigwa dhamana ya kihistoria

Na RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA ya Kuamua Kesi za Ufisadi Jumanne iliweka historia kwa kumwachilia Gavana wa Samburu Moses Kasaine...

Ni rahisi kwa wafisadi kuhalalisha mali ya wizi Kenya – Ripoti

Na VALENTINE OBARA SERIKALI ya Amerika imetilia shaka uwezo wa Kenya kurudisha mali zote za umma zilizoibwa. Uchunguzi uliofanywa na...

UFISADI: Kaunti yanunua ng’ombe kwa Sh3.7 milioni!

Na VALENTINE OBARA SERIKALI ya Kaunti ya Kisumu ilitumia Sh3.7 milioni kununua ng'ombe mmoja wa maziwa, ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu...

Ufisadi: Uhuru achemka tena!

Na PETER MBURU RAIS Uhuru Kenyatta jana alisisitiza kuwa amejitolea kupigana na ufisadi na kusisitiza kwamba hatawasaza washirika na...