• Nairobi
  • Last Updated April 20th, 2024 1:51 PM

Idadi ya wanaotumia ARVs yapanda kwa asilimia 83 – Rais

ERIC MATARA na COLLINS OMULLO IDADI ya watu wanaotumia dawa za kupunguza makali ya ugonjwa wa Ukimwi imeongezeka kwa asilimia...

Siku ya Ukimwi Duniani: Vijana washauriwa wawe mstari wa mbele kuelimisha jamii kuhusu Ukimwi

Na LAWRENCE ONGARO VIJANA wameshauriwa kujiepusha na vitendo vya ngono kiholela ili waepuke Ukimwi na magonjwa mengine ya...

Hofu Ukimwi ukisambaa kwa kasi miongoni mwa watumiaji mihadarati

Na ALEX KALAMA BARAZA la Kitaifa la Kudhibiti Ukimwi (NACC) limeeleza wasiwasi kuhusu ongezeko la ueneaji wa ugonjwa huo miongoni mwa...

Tahadhari yatolewa kuhusu vifaa ghushi vya kupima Ukimwi

Na ANGELINE OCHIENG TAHADHARI imetolewa kuhusu kuibuka kwa vifaa ghushi vya kufanyia vipimo vya virusi vya Ukimwi ambavyo vimeingizwa...

Anatumia mitandao ya kijamii kuhamasisha umma kuhusu Ukimwi

Na JOHN KIMWERE NI mwalimu wa dini katika Kanisa la Bethlehem Judah Restoration, linalopatikana Bombolulu Kisimani steji, Mombasa,...

Mashirika yatetea wauguao Ukimwi

NA DIANA MUTHEU MASHIRIKA ya kibinafsi yanayowashughulikia wagonjwa wa virusi vya ukimwi yanaitaka serikali ya kaunti ya Mombasa iwape...

WHO yahimiza Wake wa Marais Afrika wayakabili maradhi hatari sana

Na AFP KIONGOZI wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Tedros Adhanom Ghebreyesus, mnamo Jumatatu aliwahimiza Wake wa Marais barani Afrika...

Vifo kutokana na Ukimwi vyapungua kwa asilimia kubwa nchini Kenya

Na LAWRENCE ONGARO MAAMBUKIZI ya virusi vya Ukimwi yamepungua kwa kiwango kikubwa sawa na vifo, utafiti uliofanywa majuzi...

SHINA LA UHAI: HIV mkuki kwa vijana, kunaendaje?

Na PAULINE ONGAJI KAMA watoto wengine wa kawaida wanaolelewa kijijini kuliko na maisha magumu, ndoto yake Kimutai Kemboi, 28 ilikuwa...

Hofu HIV kuongezeka wakazi kukataa kondomu

Na KALUME KAZUNGU SERIKALI ya Kaunti ya Lamu imeeleza hofu kuhusu idadi kubwa ya wakazi na wageni ambao hawapendi kutumia mipira ya...

Ushoga waeneza Ukimwi magerezani

MARY WANGARI Na ANGELA OKETCH IDADI kubwa ya wafungwa katika magereza ya Kenya wameambukizwa Ukimwi kutokana na kuongezeka kwa visa vya...

Serikali kukagua wanaume kubaini ikiwa wametahiriwa

NA GEORGE ODIWUOR SERIKALI kuanzia Jumatatu itaanza kuchunguza nyeti za wanaume ikiwa wametahiriwa, katika kaunti nne za eneo la...