• Nairobi
  • Last Updated April 20th, 2024 5:23 PM

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Alama za uakifishaji ambazo kila mwandishi anapaswa kuzifahamu

Na MARY WANGARI TUMEKUWA tukitathmini kuhusu uandishi wa kiubunifu. Katika makala ya leo tutaangazia kuhusu dhana na dhima ya...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Vigezo muhimu katika ufunzaji wa ama Riwaya au Tamthilia

Na WANDERI KAMAU UFUNDISHAJI wa riwaya na tamthilia au fasihi yoyote unahitaji mwongozo wa nadharia fulani ya uhakiki. Kimsingi,...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Dhana ya tamathali za usemi katika mawasiliano

Na MARY WANGARI KWA mujibu wa Ogechi (2002:12), tunawasiliana ili kuwaathiri wengine. Kwa mfano, matumizi ya vibonzo katika magazeti...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Mchakato wa mawasiliano, nyenzo na aina za mawasiliano

Na MARY WANGARI MTUMA-UJUMBE au ukipenda mzungumzaji ana habari ambayo angependa kuiwasilisha na anaufuma ujumbe katika ishara kisha...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Tofauti za upataji wa lugha ya kwanza na lugha ya pili na maandalizi ya mbinu za ufundishaji

Na MARY WANGARI KUNA tofauti kubwa kati ya upataji wa lugha ya kwanza na lugha ya pili. Kila mtu ana lugha ya kwanza. Wataalamu wanaounga...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Sababu za kuchanganya au kubadili msimbo katika lugha ya Kiswahili

Na MARY WANGARI HUMSAIDIA mzungumzaji kujieleza vizuri kwa lengo la kufidia upungufu wa msamiati. Upungufu huu unaweza kutokana na...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Kiini cha makosa katika lugha

Na MARY WANGARI Tatizo la Msamiati HALI hii hutokea kwa sababu ya ugeni wa dhana au fikra katika lugha ya Kiswahili. Kwa...