• Nairobi
  • Last Updated April 19th, 2024 10:55 AM

Serikali kubuni kanuni mpya za kuimarisha uvuvi

NA WINNIE ATIENO SEKTA ya uvuvi nchini, inatarajiwa kupigwa jeki baada ya serikali kubuni kanuni mpya. Kanuni hizo zinalenga kuongeza...

Wapwani wakaushwa tena

Na WAANDISHI WETU MASAIBU yanayokumba wakazi wa Pwani wanapojitafutia riziki yanazidi kuongezeka, baada ya kubainika kuwa, wavuvi...

Fundi wa majahazi anayeunda mashua na mitumbwi

Na DIANA MUTHEU NI mwendo wa saa saba mchana na wavuvi wamekwisha kuondoka kutoka katika eneo la uvuvi (BMU) la Ngare lililo katika mkondo...

Sekta ya uvuvi kuimarishwa nchini

Na WINNIE ATIENO WAZIRI wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Peter Munya amesema vijana 2,000 watapewa mafunzo ya ubaharia ili waweze kufanya kazi...

Wavuvi hatarini kunyimwa kibali kwa kupuuza kanuni

Na MAUREEN ONGALA MAELFU ya wavuvi katika Kaunti ya Kilifi wapo katika hatari ya kupigwa marufuku kuendeleza shughuli zao iwapo...

Uvuvi karibu na Somalia wapigwa marufuku

NA KALUME KAZUNGU SERIKALI imewapiga marufuku wavuvi wa Lamu na Pwani kutekeleza shughuli zao za uvuvi kwenye mpaka wa Kenya na...

TZ mbioni kuokoa wavuvi wake waliokamatwa na maafisa wa Kenya

NA WINNIE ATIENO SERIKALI ya Tanzania imeingilia kati kesi kuhusu raia wake wapatao 108 waliokamatwa na maafisa wa huduma za kulinda...

Wavuvi 24 wa Kenya wabambwa na polisi UG

Na George Odiwuor WAVUVI 24 kutoka Kenya wanazuiliwa nchini Uganda baada ya kukamatwa kwa madai ya kukiuka sheria za uvuvi wakiendesha...

UVUVI: Huenda kitoweo cha samaki nchini kikawa historia tusipochukua hatua

RICHARD MAOSI NA MAGDALENE WANJA Uzalishaji wa samaki nchini ulipungua pakubwa kati ya mwaka wa 2013 na 2016 - kwa asilimia 21.3 kutoka...

AKILIMALI: Uundaji kamba kwa nyavu za samaki wawapa umaarufu na kipato

Na STEPHEN DIK Bi Josephine Anyango na msaidiza wake, Bi Monica Akoth ni wasusi wa kamba ndefu za kufunga mifugo, kamba hizi...

Wavuvi watatu wahofiwa kuzama baharini

NA KALUME KAZUNGU WAVUVI watatu hawajulikani waliko ilhali mwingine mmoja akiokolewa baada ya boti waliyokuwa wakivulia samaki kuzama...

Serikali sasa yaruhusu wavuvi kutumia nyavu zilizokataliwa

Na CHARLES LWANGA SERIKALI sasa imeruhusu wavuvi katika bahari ya Hindi kutumia nyavu ambazo awali zilikataliwa, kwa kuwa zinavua hadi...