• Nairobi
  • Last Updated March 28th, 2024 6:50 PM

Waboni walilia serikali watoto wapate elimu

Na KALUME KAZUNGU WAKAZI wa jamii ya Waboni wanaoishi vijiji vilivyo msitu wa Boni, Kaunti ya Lamu, sasa wanaitaka serikali kubuni kituo...

Waboni 3,000 waonja utamu wa hati miliki

NA KALUME KAZUNGU JUMLA ya Waboni 3,232 kwa mara ya kwanza wamepata hatimiliki za ardhi zao miaka 56 baada ya uhuru wa nchi hii...

Waboni wanavyotaabika kupata elimu ya chekechea

Na Kalume Kazungu MATUMAINI ya watoto wa jamii ya walio wachache ya Waboni kupata elimu yanazidi kufifia, kufuatia hatua ya hivi punde...

Jamii yataka idhini kukeketa mabinti wao

Na Kalume Kazungu WAZEE wa jamii ya Waboni katika kaunti ya Lamu wanataka waruhusiwe kukeketa binti zao kama njia ya kukabiliana na...

Waboni walia maisha magumu huenda yakaangamiza jamii yao

NA KALUME KAZUNGU WAZEE kutoka jamii ya Waboni, Kaunti ya Lamu, wanaitaka serikali ya kitaifa kufikiria kuangazia sekta nyingine muhimu za...

Waboni waitaka serikali iwajengee shule ya bweni

NA KALUME KAZUNGU JAMII ya Waboni sasa inaitaka serikali kubuni shule moja ya bweni itakayohudumia zaidi ya wanafunzi 400 kutoka vijiji...