• Nairobi
  • Last Updated April 19th, 2024 8:55 PM

Nitakwama na Ruto hata mkinipokonya cheo – Washiali

MBUNGE wa Mumias Mashariki Benjamin Washiali, amekiambia chama cha Jubilee kimuondoe kutoka kwa wadhifa wa Kiranja wa Wengi katika Bunge la...

DCI kumhoji Washiali kuhusu uvamizi videoni

Na BENSON AMADALA IDARA ya Upelelezi wa Jinai (DCI) inamchunguza Mbunge wa Mumias Mashariki Benjamin Washiali kuhusu madai kuwa...

Wito Washiali ashikwe kwa kushambulia mtu

Na SHABAN MAKOKHA KUNDI la Wakenya linadai kukamatwa na kushtakiwa kwa kiranja wa Bunge la Kitaifa Benjamin Washiali baada ya...

Wabunge wa Magharibi watisha kuhama Jubilee baada ya Echesa kutiwa adabu

Na SHABAN MAKOKHA Wabunge wa Jubilee eneo la Magharibi wametisha kuhama chama hicho kulalamikia kufutwa kazi kwa aliyekuwa waziri wa...