• Nairobi
  • Last Updated April 24th, 2024 10:08 PM

Ajenti wa kusafirisha watalii ashtakiwa kuendeleza biashara ya umalaya akimtumia msichana wa umri mdogo

Na RICHARDE MUNGUTI AJENTI wa kampuni ya kuwasafirisha watalii alishtakiwa Ijumaa kwa kumficha msichana mwenye umri wa miaka 16 katika...

Sekta ya utalii katika hatari walaghai wakiibia wageni

Na EDWIN OKOTH na KALUME KAZUNGU MATAPELI wanaosingizia kuwa mawakala wamewalaghai mamia ya watalii kutoka sehemu mbalimbali ulimwenguni...

Raha kwa wenye mikokoteni na punda bodaboda kupigwa marufuku

NA KALUME KAZUNGU WAENDESHAJI mikokoteni na wamiliki wa punda kwenye miji ya kale ya Lamu na Shella wamepata afueni kufuatia hatua ya hivi...

Watalii 7,000 watarajiwa kunogesha biashara Lamu

NA KALUME KAZUNGU ZAIDI ya watalii 7000 wanatarajiwa kuzuru eneo la Lamu katika kipindi cha ziara nyingi za watalii kinachotarajiwa kuanza...

Joho atenga Sh30 milioni kumaliza kunguru wanaohangaisha watalii

Na WINNIE ATIENO SERIKALI ya Gavana Ali Hassan Joho inapanga kutenga Sh30 milioni ili kukabiliana na kunguru ambao wamekuwa...

Kituo maalum cha watalii chazinduliwa Lamu

NA KALUME KAZUNGU SERIKALI ya kaunti ya Lamu imezindua ujenzi wa kituo maalum cha mawasiliano  kwa watalii wote wanaozuru eneo...

Watalii wafurika Lamu kusherehekea Pasaka

NA KALUME KAZUNGU WATALII wanaendelea kufurika kisiwani Lamu kwa maadhimisho ya sherehe za Pasaka. Kufikia sasa idara ya utalii ya Lamu...