• Nairobi
  • Last Updated April 19th, 2024 8:55 AM

Wavuvi Lamu wadai maegesho yao yamenyakuliwa

Na KALUME KAZUNGU WAVUVI katika kisiwa cha Lamu wanaiomba serikali kuingilia kati na kuwasaidia kukomboa ardhi yao ya maegesho...

Wavuvi kuishtaki serikali upya kuhusu fidia

Na KALUME KAZUNGU ZAIDI ya wavuvi 4,000 walioathiriwa na mradi wa Bandari ya Lamu wanajiandaa kuelekea mahakamani wiki hii kuishtaki...

Wanajeshi sasa lawamani kwa kutookoa wavuvi

Na WACHIRA MWANGI WAVUVI wanne kutoka Kaunti ya Tana River wamelaumu maafisa wa jeshi la wanamaji kwa kukataa kuwaokoa walipokwama...

Wavuvi walalamikia ukosefu wa vifaa vya kisasa

NA KALUME KAZUNGU WAVUVI wa mpakani mwa Lamu na Somalia wanaitaka serikali ya kitaifa na ile ya kaunti kuwafadhili kwa vifaa vya kisasa...

Uvuvi karibu na Somalia wapigwa marufuku

NA KALUME KAZUNGU SERIKALI imewapiga marufuku wavuvi wa Lamu na Pwani kutekeleza shughuli zao za uvuvi kwenye mpaka wa Kenya na...

TZ mbioni kuokoa wavuvi wake waliokamatwa na maafisa wa Kenya

NA WINNIE ATIENO SERIKALI ya Tanzania imeingilia kati kesi kuhusu raia wake wapatao 108 waliokamatwa na maafisa wa huduma za kulinda...

Wavuvi 24 wa Kenya wabambwa na polisi UG

Na George Odiwuor WAVUVI 24 kutoka Kenya wanazuiliwa nchini Uganda baada ya kukamatwa kwa madai ya kukiuka sheria za uvuvi wakiendesha...

Wavuvi wavua mabomu 3 badala ya samaki

Na GEORGE ODIWUOR HALI ya taharuki imekumba wakazi katika ufukwe wa Kiumba, Kisiwani Rusinga, Homa Bay baada ya wavuvi kunasa mabomu...

Kutumia kondomu kukinga simu ni hatari, wavuvi waonywa

Na WINNIE ATIENO WATAALAMU wa kiafya Mombasa Jumanne walionya wavuvi dhidi ya kutumia mipira ya kondomu kuzuia simu zao kuingia maji...

Mchujo mpya kwa wavuvi 4000 kabla ya kufidiwa na LAPSSET

NA KALUME KAZUNGU WAVUVI zaidi ya 4000 walioathiriwa na ujenzi wa mradi wa bandari mpya ya Lamu (LAPSSET) sasa watalazimika kupitia upya...

Wavuvi watatu wahofiwa kuzama baharini

NA KALUME KAZUNGU WAVUVI watatu hawajulikani waliko ilhali mwingine mmoja akiokolewa baada ya boti waliyokuwa wakivulia samaki kuzama...

Serikali yaamriwa kuwalipa wavuvi mabilioni

Na RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA Kuu imeamuru serikali iwalipe fidia ya Sh1.76 bilioni wavuvi wapatao 4,600 katika kaunti ya Lamu. Wavuvi hao...