Achani kufuatilia usafishaji wa maji ya chumvi

Achani kufuatilia usafishaji wa maji ya chumvi

NA KNA

SERIKALI ya Kaunti ya Kwale, inaendeleza mashauriano na kampuni tatu kabla ya kuanzisha usafishaji wa maji ya baharini kwa matumizi nyumbani.

Gavana Fatuma Achani anasema wawekezaji hao kutoka Uhispania na Mashariki ya Kati washatengewa ardhi ya ekari 50 kutekeleza mradi huo Samburu.

Mradi huo ukikamilishwa, utaleta afueni kwa wakazi wengi wanaokumbwa na uhaba wa maji.

You can share this post!

KASHESHE: Toto ajitetea

Rais wa Peru avuliwa mamlaka, akamatwa

T L