Afisa wa IEBC aliyepoteza matokeo ndani

Afisa wa IEBC aliyepoteza matokeo ndani

NA LEONARD ONYANGO

AFISA wa IEBC alifikishwa kortini baada ya kukosa kujaza fomu ya matokeo katika kituo cha kupigia kura cha Kianda, Kaunti ya Nyandarua.

George Chege ambaye alikuwa msimamizi wa kituo hicho anadaiwa kukosa kujaza fomu ya 39(A).

Chege alijipata matatani alipodai kuwa alikuwa amefungia matokeo ndani ya sanduku la kura lakini lilipofunguliwa hayakuwemo.

  • Tags

You can share this post!

DOUGLAS MUTUA: Kumbe wanasiasa Kenya watoshana nguvu,...

Kamati yatangaza siku ya kuapishwa rais mpya kuwa ya...

T L