Makala

AMINI USIAMINI: Ng’ombe huota kama amelala chini

January 5th, 2024 1 min read

NA PETER MWORIA

WANASAYANSI wanaamini kwamba ng’ombe huchangia pakubwa katika mabadiliko ya tabianchi duniani.

Ng’ombe mmoja hutoa gesi ya sumu aina ya methane ambayo inaweza kujaza chupa 400 za lita moja kwa siku.

Pia, ng’ombe anaweza kulala kama amesimama lakini huota tu kama amelala chini.