Makala

ANA KWA ANA: Ni kweli, ‘The Trend’ imejenga brandi yangu

April 5th, 2019 3 min read

Na THOMAS MATIKO

EDWIN Butita, ni kati ya chale wanaokubalika hapa nchini.

Toka kipaji chake kiweze kutambulika kupitia kipindi cha ucheshi Churchill Show sanaa yake imekuwa ikipepea kila kukicha.

Ulijikutaje kwenye sanaa hii?

Hapo ndipo ukaamua ufanye komedi?

Endelea…

Churchill Show ilikujenga ila ni kama baadaye uliondoka?

Kwa hiyo ‘The Trend’ ndiyo ilikung’oa Churchill Show?

Wewe ni mtu maarufu na kwa kawaida skendo huwaandama?

Umevumishwa kuwa kwenye uhusiano na mcheshi mwenzako Mammito, hili ni kweli?

Uhusiano wako na Mammito upoje?

Kwa hiyo nikisema nyie ni marafiki sitakosea?

Nayo ishu kwamba Mammito alinasa ujauzito wako?