AS Roma ya kocha Jose Mourinho yazamisha chombo cha Inter Milan katika Serie A

AS Roma ya kocha Jose Mourinho yazamisha chombo cha Inter Milan katika Serie A

Na MASHIRIKA

BEKI wa zamani wa Manchester United, Chris Smalling, alifungia AS Roma goli la pili katika ushindi wa 2-1 uliokuwa wao wa kwanza dhidi ya Inter Milan katika Ligi Kuu ya Italia (Serie A) tangu Februari 2017.

Roma sasa wana alama 16, nne nyuma ya viongozi Napoli waliokomoa Torino 3-1. Mabingwa watetezi AC Milan wana pointi 17 baada ya kucharaza Empoli 3-1.

MATOKEO YA SERIE A (Jumamosi):

Inter Milan 1-2 AS Roma

Napoli 3-1 Torino

Empoli 1-3 AC Milan

TAFSIRI NA: CHRIS ADUNGO 

  • Tags

You can share this post!

Njama ya UDA kumeza vyama tanzu katika Kenya Kwanza...

Kylian Mbappe aongoza PSG kupepeta Nice na kudhibiti kilele...

T L