• Nairobi
  • Last Updated June 12th, 2024 4:24 PM

Viongozi wataka majani ya muguka yatajwe dawa ya kulevya

CECIL ODONGO Na KEVIN CHERUIYOT BAADHI ya viongozi wa kisiasa na kijamii Jumanne walitoa wito kuwe na mabadiko kwenye Sheria ya Mimea ya...

Tofauti za Ruto na Gachagua ni za maslahi yao wala si wakazi wa Mlima Kenya

Na BENSON MATHEKA KUMEKUWA na mjadala mkali kuhusu uhusiano wa Rais William Ruto na Naibu wake Rigathi Gachagua huku mirengo miwili...

Msanii wa muziki wa Agikuyu atoa kibao kukemea walafi wa mali za wajane, mayatima

NA MWANGI MUIRURI MSANII kutoka Mlima Kenya kwa jina Bw Maina Kangoma, amewajibikia balaa iliyokita mizizi katika jamii za eneo hilo ya...

Wataalamu wabashiri kudorora kwa uchumi serikali ikiandaa bajeti ya Sh4.2 trilioni

NA BENSON MATHEKA KUNA uwezekano mkubwa wa uchumi wa Kenya kudorora wa asilimia tano mwaka huu licha kukuza vyema mwaka jana. Wataalamu,...

Walalamishi wakwepa machifu wanaoelewa mizozo yao

NA KALUME KAZUNGU KUMEIBUKA mtindo mpya wa wakazi wa maeneo mengi Lamu kukwepa machifu na badala yake kuanzia afisi za juu kutafuta...

Mvutano wachacha MCAs wakimtimua kiongozi wa wengi

NA PIUS MAUNDU TAHARUKI ilitanda katika Bunge la Kaunti ya Makueni kwa siku ya pili Jumanne baada ya kundi la madiwani wa chama cha Wiper,...

Nduguye Kabando ajutia kuua mamake akisubiri Msamaha wa Rais

NA MWANGI MUIRURI MNAMO  Julai 27, 2014, familia ya aliyekuwa mbunge wa Mukurwe-ini Bw Kabando wa Kabando ilitumbukia katika lindi la...

Lofa atatizwa na mke kutaja jina la jirani wakiburudishana

NA JANET KAVUNGA NYALI, MOMBASA JOMBI wa hapa amechanganyikiwa baada ya mkewe kutaja jina la jirani yao akipiga nduru kwa raha...

Ni kinaya Kenya kuandaa Siku ya Kiswahili Duniani bila Baraza la lugha hiyo!

NA BITUGI MATUNDURA MNAMO Julai 7, 2024, ulimwengu utaadhimisha makala ya tatu ya Siku ya Kiswahili Duniani (SIKIDU). Hafla hiyo...

Gachagua asafiri kwa ndege ya KQ kuhudhuria kongamano Mombasa

NA CHARLES WASONGA NAIBU Rais Rigathi Gachagua Jumanne aliamua kuabiri ndege ya Shirika la Kenya Airways (KQ) katika kile kinachoonekana...

Kenya yaikaba Cote d’Ivoire mechi ya kufuzu Kombe la Dunia

Na CECIL ODONGO HARAMBEE Stars Jumanne ilicheza kibabe na kuwakaba mabingwa wa Afrika Cote d’Ivoire kwa sare tasa katika mechi ya...

Afueni kwa wakulima wa kahawa serikali ikifuta madeni yao

NA CHARLES WASONGA BAADA ya presha kali kutoka kwa wanasiasa kutoka eneo la Mlima Kenya kunakokuzwa kahawa kwa wingi, hatimaye serikali...