Majaji kupewa ulinzi zaidi baada ya shambulio

NA KALUME KAZUNGU JAJI Mkuu, Bi Martha Koome, amesema kitengo cha polisi kinachosimamia ulinzi wa maafisa wa mahakamani kitatathmini...

Wakazi wa Likoni Flats walalama kuhusu uhamisho

NA FARHIYA HUSSEIN WAKAZI katika nyumba za kaunti zilizo mtaa wa Likoni Flats, Kaunti ya Mombasa, wameibua malalamishi kuhusu makataa...

Base Titanium yaongeza juhudi za kutunza ardhi

NA KNA JUHUDI za kampuni ya uchimbaji madini ya Base Titanium kuhifadhi mazingira ya ardhi zilizotumiwa kwa shughuli za uchimbaji Kwale...

Issa Boy azidi kupata ushindani

NA SIAGO CECE IDADI ya wanasiasa wanaotaka kuwania useneta Kaunti ya Kwale imeongezeka, baada ya wakili Salim Mwadumbo kuzindua kampeni...

Ndoa ya Mudavadi, Ruto yachanganya wawaniaji Magharibi

BENSON AMADALA na SHABAN MAKOKHA HATUA ya kiongozi wa ANC, Bw Musalia Mudavadi na mwenzake na Ford Kenya, Seneta Moses Wetang’ula...

TUSIJE TUKASAHAU: Badi asije akasahau kuwa karibu hospitali sita mpya zilizojengwa chini ya usimamizi wake hazina dawa na vifaa vingine vya matibabu

MNAMO Februari 2020 Shirika la Huduma za Jiji la Nairobi (NMS) lilianza kutekeleza mradi wa ujenzi wa hospitali 19 katika mitaa mbalimbali...

Shirika latilia shaka maandalizi ya IEBC

WACHIRA MWANGI na FARHIYA HUSSEIN SHIRIKA moja la wanaharakati nchini limeelezea wasiwasi wake kuhusu maandalizi duni miongoni mwa...

Sapit: Msiwachague wasiotekeleza ahadi

Na KENYA NEWS AGENCY KIONGOZI wa Kanisa la Anglikana Nchini Askofu (ACK) Jackson Ole Sapit amewataka wanasiasa ambao wanasaka viti...

KASHESHE: Azimio la Muhando

NA SINDA MATIKO WIKI mbili zilizopita Rose Muhando alitrendi Kenya na kwao Bongo baada ya kudai kuwa yupo sokoni akisaka mume...

KASHESHE: ‘Mnikome!’

NA SINDA MATIKO ALIYEKUWA mke wake Rayvanny, amewataka mashabiki kuacha kumchamba baada ya uhusiano wao kuvunjika. Rayvanny alimtema...

KIPWANI: Kipaji chake gumzo mtaani

NA KALUME KAZUNGU “MARA nyingi mimi hutumia kipawa changu cha kuimba kuwafundisha wanafunzi wangu darasani. Ajabu ni kwamba mbinu hiyo...

DOMO: Malipo hapa hapa duniani!

NA MWANAMIPASHO KAMA kuna demu aliyeniacha hoi siku za hivi karibuni ni huyu Miss Mandi. Alitrendi kwa siku tatu mfululizo baada ya...