• Nairobi
  • Last Updated March 5th, 2024 5:55 AM

Wafanyakazi waingia hofu EACC ikichunguza vyeti vya masomo katika kaunti

NA RUTH MBULA HALI ya wasiwasi imewakumba wafanyakazi katika serikali ya Kaunti ya Kisii, baada ya maafisa wa Tume ya Maadili na...

Rihana alipwa mabilioni kutumbuiza wageni kwenye sherehe ya bwanyenye India

NA WANDERI KAMAU MWANAMUZIKI Rihanna kutoka Amerika amelipwa Sh1.3 bilioni baada ya kutumbuiza wageni kwenye hafla ya matayarisho ya...

Shollei atwikwa hadhi ya juu katika jamii ya Agikuyu

NA MWANGI MUIRURI WAKATI mwanasiasa Gladys Jepkosgei Boss Shollei, mbunge mwakilishi wa Kaunti ya Uasin Gishu alipotwikwa hadhi ya...

Wakenya kusubiri kibwagizo cha hotuba za Ruto

NA MWANGI MUIRURI  TANGU nchi ijinyakulie uhuru, Wakenya wamezoea matamshi ya marais wao yenye uzito yanayobadilika kuwa kibwagizo cha...

Kipruto azima Kipchoge na kuvunja rekodi mbio za Tokyo Marathon

NA GEOFFREY ANENE BENSON Kipruto amelambisha sakafu Eliud Kipchoge akitawala mbio za Tokyo Marathon nchini Japan, Jumapili, Machi 3,...

Chunga sana Raila, Ruto ashauriwa

NA JAMES MURIMI VIONGOZI wa Mlima Kenya wamemtaka Rais William Ruto ajihadhari hata anaposhirikiana na Bw Raila Odinga kisiasa, wakisema...

Mwanamke aliyeombewa na mhubiri ‘tata’ ajipa tumaini

NA WANDERI KAMAU MWANAMKE aliyerekodiwa kwenye video ‘akipungwa pepo’ na mhubiri Danson Gichuhi almaarufu 'Yohana’ wiki moja...

Ubabe wa kisiasa wa Ford-Kenya na DAP-K watokota Trans Nzoia

NA EVANS JAOLA MAKABILIANO makali ya ubabe wa kisiasa yamezuka baina ya viongozi wa vyama vya Democratic Party of Kenya (DAP-K) na...

Waithaka wa Jane: Mfalme wa ‘Mugithi’ asiyekunywa pombe

NA WANDERI KAMAU WAKATI mwanamuziki wa mtindo wa Mugithi, Salim Junior, alipofariki mnamo 2021, kifo chake bila shaka kilikuwa pigo kubwa...

Eneo la Tusitiri latajwa kuwa ngome ya mapepo katika Bahari Hindi

NA KALUME KAZUNGU TUSITIRI ni eneo maarufu ambalo wengi wanalifahamu Lamu. Liko kwenye Bahari Hindi, karibu na ufukwe wa Wiyoni...

Viongozi waambiwa waachie asasi maalum vita dhidi ya pombe

NA MWANGI MUIRURI VITA dhidi ya pombe haramu, mihadarati na ukosefu wa nidhamu miongoni mwa wamiliki wa baa ambavyo vimezinduliwa na...

Wakulima wapinga bei ya mbolea ya gharama nafuu

NA SHABAN MAKOKHA WAKULIMA katika kaunti ya Kakamega wamekataa mbolea ya bei nafuu iliyotolewa na kaunti hiyo wakidai bidhaa hiyo inauzwa...