Makala

BAMBIKA: Kama mbaya mbaya

August 28th, 2020 1 min read

Na THOMAS MATIKO

NI kama vile msimu wa bifu umerudi tena.

Sasa hivi bifu inayozungumziwa sana ni ile ya Khaligraph Jones dhidi ya Octopizzo.

Lakini imewekwa urojo hata zaidi sababu safari hii, kaingizwa rapa chipukizi Breeder.

Tumeshaangazia sana bifu katika tasnia ya burudani katika Ukanda huu na dunia kwa ujumla.

Ila kitu kimoja ambacho pengine hakijagusiwa ni kuhusu bifu ambazo zimedhihirisha wazi kuwa zitadumu hadi milele.