Bedzimba avunja ‘mkosi’ akipewa fursa tena Kisauni

Bedzimba avunja ‘mkosi’ akipewa fursa tena Kisauni

BRIAN OCHARO Na VALENTINE OBARA

MSHINDI wa ubunge Kisauni, Kaunti ya Mombasa, Bw Rashid Bedzimba, amevunja historia ya wabunge kuhudumu kwa kipindi kimoja pekee eneo hilo.

Bw Bedzimba, alitangazwa mshindi kwa kura 34,747. Aliwahi kutumikia Kisauni kuanzia 2013 hadi 2017.

Tangu miaka ya themanini, marehemu Karisa Maitha pekee ndiye alihudumu kwa vipindi viwili kabla kufariki 2004.

Gavana Hassan Joho alikuwa mbunge eneo hilo 2007 kabla kuwania ugavana 2013.

  • Tags

You can share this post!

Kura: Raila amlemea Dkt Ruto nyumbani kwa Munya

ODM walemea Kenya Kwanza ubunge Pwani

T L