Benki ya CIB yasifu Kenya kwa ustawi wa upesi kidijitali

Benki ya CIB yasifu Kenya kwa ustawi wa upesi kidijitali

NA WINNIE ONYANDO

AFISA Mkuu Mtendaji aliye pia Mkurugenzi Mkuu wa Mayfair Commercial International Bank (CIB) Limited Hossam Rageh amesifu Kenya kwa hatua inayopiga kidijitali.

Hii ni baada ya Benki Kuu ya Kenya (CBK) kuipa Commercial International Bank (CIB) idhini ya kumiliki benki ya Mayfair.

“Nchi ya Kenya inapiga hatua nzuri. Hii ndiyo maana tumeamua kushirikiana na CBK ili kuimarisha biashara. Tunamshukuru sana Gavana wa CBK, Dkt Patrick Njoroge kwa kutupa fursa kama hii,” akasema Bw Rageh.

  • Tags

You can share this post!

NYOTA WA WIKI: Kaoru Mitoma

VITUKO: Sogora King Kazu atachoka na mpira siku akifikisha...

T L