BI TAIFA AGOSTI 02, 2019

Ann Wangoi  ndiye anatupambia ukurasa wetu. Yeye ni mfanyibiashara katika kaunti ndogo ya Molo. Anapenda kuchora, kupika na kuogelea. Picha/Richard Maosi