BI TAIFA AGOSTI 07, 2019

Anne Muoria ni mzaliwa wa kaunti ya Taita Taveta. Yeye ni mwanafunzi katika Chuo cha Mount Kenya bewa kuu mjini Thika. Anapenda kusafiri na kujumuika na marafiki. Picha/Richard Maosi